Anaye toa hatafuti Sifa sikuzote
Kiki hadi Msibani!!
Hilo watajichanga wana Arusha,sio suala la kitaifa!Haya basi pelekeni kwa wafiwa lakini muanze na hamasa ya kuchangia Machinga Complex...maana hiyo ndio yenye kiki haswa.
Kama mlivyokula rambirambi za mjane wa Mwangosi
Niko hapa kukuambia ukweli hata kama unakukera.Yaani kwenye maswala ya Rambirambi lazima mjitokeze na kutafuta kiki.Kumbe M nakumbuka mpaka pesa za Mwangosi aliyekuwa ni Mwanachama wa CCM tena mkuu wa mkoa.Mnakumvushia machungu nyie wauaji wakubwa.
Mmeaua Kijana wa watu kisa itikadi.Kuna wakati angalia points zako unazozitoa zina kera sana.Wauaji wakubwa nyie.
Nimekuwekea lori la waandishi alilobeba Gerson kwenda kupeleka laki 5 za Rais kwa mgonjwa!Kiki Ndio hoja yenu kwa sasa
Unabeba Lori zima la waandishi msibani kutoa Rambirbi Du!
Niko hapa kukuambia ukweli hata kama unakukera.
Lema amekosa vijana wa kuwatoa kafara kwenye maandamano sasa naona mnalazimishia kiki za misiba mingine...shame!!Chama cha mauaji acheni hizo bado Chadema tuna maxhungu na kuondoka kwa kijana wetu kisa Policcm.
Usitake nikutukane acha upumbavu,usidhani Watanzania ni wapumbavu Wauaji wakubwa nyie.
Kuanzia sasa tumekomesha mchwa kwenye rambirambi .Kule Arusha tunasikia Chadema imechanga kama milioni 50 hivi na wako katika mchakato wa kutoa rambirambi hizo kwa wafiwa huku kukiwa na waandishi wa habari.
Ni huko huko Arusha ambapo mbunge wake ndugu Lema aliahidi kujenga jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga Complex ahadi ambayo haijatimizwa hadi leo.
Nawashauri hawa matajiri wa rambirambi waelekeze hizo milioni 50 kwenye ujenzi wa Machinga Complex ili kujichukulia ujiko na sio KIKI ZA RAMBIRAMBI.
Chadema Arusha Machinga Complex lini???
[HASHTAG]#kikizamsiba[/HASHTAG]
Ooh kwasababu hamkuahidi rambi rambi kwenye ilani,sivyo?Ndio mumsaidie lema kuhamasisha...sio kuhamasisha michango ya mazishi tu.
watu wanataka maendeleo sio unafiki wa kwenye misiba
Lema amekosa vijana wa kuwatoa kafara kwenye maandamano sasa naona mnalazimishia kiki za misiba mingine...shame!!
Anakufa nao tuInaitwa uzi umebackfire!Sema hamna option ya kuufuta,angeshaufuta kitambo,hii inaitwa die alone!
Hatariii!Anakufa nao tu
Lema amekosa vijana wa kuwatoa kafara kwenye maandamano sasa naona mnalazimishia kiki za misiba mingine...shame!!
Utanena kwa kila lugha leo!Mchwa wa rambi rambi kichwa chini tukapiga nyundo!
Machinga Complex ilikuwa ni ahadi ya lema...atekeleze ahadi zake na aache kujificha kwenye kichaka cha kuchangia mazishi.Ooh kwasababu hamkuahidi rambi rambi kwenye ilani,sivyo?
Sisi tumeguswa na suala la kitaifa,hilo la machinga complex halmashauri inakusanya kodi,zinatosha wakiamua!
Toka Gambo ameingia Arusha imetulia tulii...naona mnataka kuanzisha maandamano ya kuchangia msiba.Kwa hiyo mmezoea kuua vijana wa Chadema leo hawapo naona mpovu yanawatoka .
Mmezoea kuua vijana wa Upinzani nendeni mkaue UVCCM wenzenu wanaopinga matumizi mabaya ya madaraka ya huyo mpuuzi. Maana mmezoea kuua hakika Chama Cha Mauaji mnashida sana
Matajiri wa RambiRambi!!
Machinga Complex ilikuwa ni ahadi ya lema...atekeleze ahadi zake na aache kujificha kwenye kichaka cha kuchangia mazishi.