Ushahidi ni Lowasa kujitangaza kuwa mgombea urais pekee wa chadema 2020.!!!!!!
Siku zote mmiliki wa chama hasubili democrasia ya chama. Lowasa ni mmiliki wa chama.
Kwamba unamaanisha kipindi cha JK uwanja ulikuwa sawa?mbona mlikuwa mnalalamikia uwanja?Wekeni uwanja sawa wa Siasa muone CHADEMA ilivyo na nguvu..
Mikutano ya Siasa hamtaki, bunge live hamtaki halafu unakuja kusema huwasikii wanasiasa wa CDM..
Kumbe akina Le Mutuz mpo wengi eeehh.
pelekeni hizo milioni 50(kama mnazo kweli) mkaanze ujenzi wa Machinga Complex...Kumbe mlitaka hizo mil 50 mkazibadili matumizi kama mlivyofanya kagera???Hahahaaa ccm mna laana!Hadi rambi rambi mnafanya ni makusanyo ya nchi
Kule Arusha tunasikia Chadema imechanga kama milioni 50 hivi na wako katika mchakato wa kutoa rambirambi hizo kwa wafiwa huku kukiwa na waandishi wa habari.
Ni huko huko Arusha ambapo mbunge wake ndugu Lema aliahidi kujenga jengo la wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga Complex ahadi ambayo haijatimizwa hadi leo.
Nawashauri hawa matajiri wa rambirambi waelekeze hizo milioni 50 kwenye ujenzi wa Machinga Complex ili kujichukulia ujiko na sio KIKI ZA RAMBIRAMBI.
Chadema Arusha Machinga Complex lini???
[HASHTAG]#kikizamsiba[/HASHTAG]
Rambirambi mtazisikia tu hivyo hivyo kwenye tv na radio, tumewajua kwa tabia zenu za kula rambirambiHii inahusu Machinga Complex...yaani mna hela ya kuchangia majeneza badala ya maendeleo.
Hapana,hizo ni pesa kwa ajili ya wafiwa!Tumezikusanya kwa jina la rambi rambi,itakuwa dhambi kuzibadili matumizi na itakuwa usaliti kwa waliochanga wakijua wanachangia waliofiwa na watoto wao wapendwa!Ni waliokosa utu,heshima,maadili na waroho wanaoweza kuchukua rambi rambi na kuzipeleka kufanyia shughuli nyingine!pelekeni hizo milioni 50(kama mnazo kweli) mkaanze ujenzi wa Machinga Complex...
Kwa mrisho Gambo hakuna kiki za kijinga
Kutoa sio lazima Ujulikane au Uende na Lori la Waandishi msibani!!Rambirambi mtazisikia tu hivyo hivyo kwenye tv na radio, tumewajua kwa tabia zenu za kula rambirambi
Jamani huyu kaamua kutoa ya moyoni,kumbe wadau waliona mbali na kuamua kuchangia kwa watu wanaowaamini!Mnavizia mpaka rambi rambi mfanye kama ndio makusanyo ya TRAHii inahusu Machinga Complex...yaani mna hela ya kuchangia majeneza badala ya maendeleo.
Huwezi mpangia mtu achangie kwa utaratibu gani,kama ni kiki sawa ilimradi pesa zifike!Ila umesema vema kuwa sio lazima ujulikane,ila pia sio lazima usijulikane!Kutoa sio lazima Ujulikane au Uende na Lori la Waandishi msibani!!
Yaani unaalika Mwqndishi unaenda kutoa Rambi Rambi!!
Kwanini hawakujichanga hapo kabla wakawapeleka watoto wale 3 kutibiwa!!
Hizi kiki za Misibani hazita wasaidia wanafiki sikuzote
Jamaa anajuta kuanzisha uziHiki chama cha kijani ni laana tupu