St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,641
- 11,201
Hawa wamempunzika baada ya ushindi na kumuachia kazi jembe JPM...NA MIMI NDUKIIIII!Na mimi siwaoni wala siwasikii
January Makamba
Ole Sedeka
Abdurahman Kinana
Mwingulu Nchemba
Rizwan Kikwete
Nchimbi
Kabla huja angalia chadema anza na wa Lumumba.
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuna jamaa yenu analiaa kuwa katepeliwa mitaa ya lumumba mmeshamalizana naye?
Hamna hata huruma jamaa anavyolia namna ilee. Au mmemliza kimjini mjini🙁🙁
Na hao uliowataja wewe nao wamepumzika wamemuachia kazi Fuso Lema.Hawa wamempunzika baada ya ushindi na kumuachia kazi jembe JPM...NA MIMI NDUKIIIII!
Yule hawawezi kumuogopa hata chembe, kama walizishigongo zile rambirambi zote za Kagera, huyu asahau kulipwa chake.Kuna jamaa yenu analiaa kuwa katepeliwa mitaa ya lumumba mmeshamalizana naye?
Hamna hata huruma jamaa anavyolia namna ilee. Au mmemliza kimjini mjini🙁🙁
chadema ina nguvu ya kupokea oil chafu tuWekeni uwanja sawa wa Siasa muone CHADEMA ilivyo na nguvu..
Mikutano ya Siasa hamtaki, bunge live hamtaki halafu unakuja kusema huwasikii wanasiasa wa CDM..
Kumbe akina Le Mutuz mpo wengi eeehh.
Sioni mkakati wowote wa Chadema kama ilivyokuwa awali kabla ya kupokea makapi ya CCM yaliyobatizwa jina la Oil Chafu.
Sioni na wala siwasikii wanasheria nguli kama kina Tundu lisu.
Simsikii Mnyika.
Msigwa kapotea
Kubenea nishamsahau
Sugu nilimuona kwenye clip ya fiesta.
Katibu wao ndio kazimika kabla yakuanza kazi...
Mdee Halima ndio usiseme....kimyaaa!
profesa J anaimba singeli
Mzee wa mabadiliko yuko South
Babu yao kingunge kaufytaa!
Sioni mkakati wowote wa Chadema kama ilivyokuwa awali kabla ya kupokea makapi ya CCM yaliyobatizwa jina la Oil Chafu.
Sioni na wala siwasikii wanasheria nguli kama kina Tundu lisu.
Simsikii Mnyika.
Msigwa kapotea
Kubenea nishamsahau
Sugu nilimuona kwenye clip ya fiesta.
Katibu wao ndio kazimika kabla yakuanza kazi...
Mdee Halima ndio usiseme....kimyaaa!
profesa J anaimba singeli
Mzee wa mabadiliko yuko South
Babu yao kingunge kaufytaa!
Kama hela za kujenga ofisi mmekosa, je hizo hela za kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano ya siasa mtatoa wapi??Hebu kubalini mikutano ya kisiasa ndo tujue tathimini cdm & ccm
Katikati ya utawala Mbowe anaweza kubadili gia na kuuza nchi, kama alivyouza chama chake
unajua budget yao, ndo nyie mnaofatilia maisha ya watu kuwa flani kala nini leo na jana kala niniKama hela za kujenga ofisi mmekosa, je hizo hela za kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano ya siasa mtatoa wapi??
Ushahidi ni Lowasa kujitangaza kuwa mgombea urais pekee wa chadema 2020.!!!!!!una ushahidi au ndo kuropoka tu, ekeni ushahidi