mambo kwa soksi

kubwa jinga jr

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
292
309
jamani wanajukwaa miaka ya nyuma kuna bendi moja ilitoa wimbo wake mmoja ulijulikana kama mambo kwa soksi...dude hilo kwa soksi mwenye nayo nyimbo hiyo au mwenye kujua mashairi yake anitupie hapa....
na hilo dude lilotajwa kwenye huo wimbo ni dude gani

swali moja faida kwa wengi
 
Walikua ni super Matimila chini ta kiongozi wake hayati Dr. Remmy Ongala. Nadhani mwenye ana hio audio kama yupo atakupatia
 
Back
Top Bottom