Mambo hayo;

Mambo hayo;

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
431
Rostam aweza kuwa mtu hatari, mwenye kuzichezea siasa za Tanzania. Huyu akiwa pale LSE UK, alijenga urafiki mkubwa sana na binti wa mkubwa mmoja na muhimu katika Tehran (siasa za Iran). Haikufahamika kwa haraka ni nini alichokuwa akikitafuta kwa huyo binti na nani alimtuma ajenge huo urafiki ghafla kiasi hicho.

Ni vigumu kuamini kuwa, Serikali ya Marekani imegharamia masomo ya Rostam LSE (baada ya hii task) na hii serikali kupitia Prof mmoja anayefundisha chuo kikuu kimoja UK huku akiwa ni mfanyakazi wa CIA iliweza kufanikisha urafiki mkubwa wa Rostam na huyu binti huku yeye (Prof) akiwaachia maelekezo vijana wa CIA baadhi kum-monitor Rostam na hatimaye urafiki ukawa mkubwa sana kiasi kwamba ukaweza kumfanya Rostam akubalike na Tehran.

Kwa udhamini na wito kutoka serikali ya US, Rostam akawa anakwenda mafunzo mahsusi ya ki-usalama marekani na huko alikutana na watu wengi sana muhimu wakiwemo wamiliki wa Symbion. Oesa za Kagoda ni msamaha wa deni lililofanikishwa na ushawishi wake pale Tehran. Kwa bahati mbaya sana hata Mariam (mke wa Rostam) hakuufahamu uhusiano ule akifikiri ni mapenzi mpaka pale alipojua vinginevyo (ingawa hawezi kujua behind the scene kuna nini). Malengo ya Marekani na huu urafiki (Rostam-Tehran) bado yako palepale na nilipokutana na rafiki yangu (huyu aliweza kufanya kazi nzuri sana na Shah Riza kule Middle East) wa siku nyingi sana pale Boston, akanihakikishia kuwa lengo lilipangwa kutimia 2018 au 2022 hivi!. Kule Saudi Arabia na sehemu nyinginezo ameweza kutumiwa sana na hawa ‘‘mabosi’’ wake kwenye masuala ya biashara.

Rostam anafanya kazi kubwa na nyingi za kibiashara na kisiasa na CIA kama agent wao muhimu sana Afrika huku yeye akisaidiana na mtandao wa CIA kule South Africa na ku-control sehemu kubwa Afrika Mashariki na Kati na sehemu nyingine za afrika ambazo US itakuwa na maslahi nazo. Mambo machache aliyoweza kufanikisha ni pamoja na kumfikisha Raila hapo alipo, mikataba ya kimaslahi na Salva Kiir achilia mikono ya Rwanda na Uganda kule Congo, na Madagascar

Wakati Bush amekuja Tanzania. Kule Arusha, viongozi wa makampuni makubwa yanayomiliki migodi mikubwa ambayo Bush, US na CIA ina maslahi nayo kutoka karibu kila kona ya dunia walikusanyika na walielezea ni kwanini biashara haiendi vizuri. Hakuna mtanzania yeyote Yule aliyehudhuria except Rostam. Nani alimwalika na alihudhuria akitokea wapi?! Pale waliazimia mambo makubwa na ya hatari sana. Rostam anajua vizuri what happened na maazimio yale yalilenga nini.

Ukirejea hata kifo cha rais Magufuli,alianza kujiskia vibaya punde tu alipotoka katika kiwanda chake na it's true kuwa alivutishwa hewa chafu akiwa hapo kabla ya Dkt Janabi kufanya kazi yake ya kitaalam,lakin niwarejeshe mwaka 1995 wakati wa uchaguzi mkuu wa ndani ya chama wa kumpata mgombea urais miongoni mwa makundi ambalo lilitwa "wanamtandao" Rostam Aziz ndiye aliyefanikisha na by then pesa zote zilitolewa na kutumika ila kwa kupitia vivuli vya wanasiasa ndio maana mpaka leo Eddo alionekana anapesa sana lakin behind this,Rostam Aziz ndiye aliyekuwa ana facilitate harakati zote za 1995 na 2005.

Nguvu aliyokuwa nayo Rostam azizi,ndiyo hiyo iliyowabadilisha wanasiasa wadogo kama akina Zitto Kabwe kutoka kuwa wapinzan wa kweli mpaka kuwa mawakala wa CIA,jeuri ya vijana wadogo kama January Makamba,Nape Nauye(hata kutabiri kifo cha Magufuli mwezi February tena kwa dharau na kejeli) nguvu ya mitandao ya kijamii na isiyoguswa wala kushikika inayowazidi maarifa hata idara za ndani za usalama zinazotoa siri za nchi(Vigogo2014) ni sehem kubwa ya ufedhuli dhidi ya serikali za haki na zinazoleta usawa kwenye jamii.

Kwa sasa,tayari nchi yetu imeshaingia katika mikono ya watu hawa,ni ngumu kuona mzalendo atakayeondoa hofu ya kifo kama Magufuli na kupambana hadharani kwaajili ya kulinda na kutetea rasilimali za taifa,gesi wamesha chukua,Rostam Aziz alishaingiza biashara zake za vifaa vya corona ikiwa na barakoa na mamimafuta ya kupaka(Hili raid Magufuli alikataa hadharani akaagiza wizara ya afya na watu kutengeneza barakoa zao wenyewe) lakin ndiko tunakorudi,tayari Kuna vitalu vya madini wanavihitaji na wamesha vipata(Tembo na simba hawali madini,naagiza yachimbwe) kifupi tunahitaji rehema za Mungu aliyejuu,lakin kamwe tusikubali kurudi ambako Magufili alituvusha..

#Note Serikali yeyote ya haki na usawa haiwezi kuambatana na matajiri wachache wenye lengo la kuweka serikali yote katika mifuko yao...
 
Huyo ni miongoni mwa wahuni wakunbwawakubwa wa nchi.
 
Too late.
 
Rostam mjomba wake alikua balozi wa Iran pale bongo.
Mikocheni pembeni tu ya La pizzeria Kwa muitaliano pale.
Aliondoka balozi na Rostam kaachiwa ghorofa lile.
Hizo nyingine hadithi tu, na pale michezo na mapigo yote yalifanyika.
Aggrecco, kagoda, symbion, richmond na kule juu Kwa Rwegasira huyo yumo.
Pale ubungo kwenye mtambo wa gesi yumo
Voda sijui Wapi yumo huyu na airtel huko kote kapita.
Waswahili mnamkenulia meno tu kwamba ndo kingpin wa siasa hapo.
Huyo sio mtu, hamumjui tu.
 
Rostam aweza kuwa mtu hatari, mwenye kuzichezea siasa za Tanzania. Huyu akiwa pale LSE UK, alijenga urafiki mkubwa sana na binti wa mkubwa mmoja na muhimu katika Tehran (siasa za Iran). Haikufahamika kwa haraka ni nini alichokuwa akikitafuta kwa huyo binti na nani alimtuma ajenge huo urafiki ghafla kiasi hicho.

Ni vigumu kuamini kuwa, Serikali ya Marekani imegharamia masomo ya Rostam LSE (baada ya hii task) na hii serikali kupitia Prof mmoja anayefundisha chuo kikuu kimoja UK huku akiwa ni mfanyakazi wa CIA iliweza kufanikisha urafiki mkubwa wa Rostam na huyu binti huku yeye (Prof) akiwaachia maelekezo vijana wa CIA baadhi kum-monitor Rostam na hatimaye urafiki ukawa mkubwa sana kiasi kwamba ukaweza kumfanya Rostam akubalike na Tehran.

Kwa udhamini na wito kutoka serikali ya US, Rostam akawa anakwenda mafunzo mahsusi ya ki-usalama marekani na huko alikutana na watu wengi sana muhimu wakiwemo wamiliki wa Symbion. Oesa za Kagoda ni msamaha wa deni lililofanikishwa na ushawishi wake pale Tehran. Kwa bahati mbaya sana hata Mariam (mke wa Rostam) hakuufahamu uhusiano ule akifikiri ni mapenzi mpaka pale alipojua vinginevyo (ingawa hawezi kujua behind the scene kuna nini). Malengo ya Marekani na huu urafiki (Rostam-Tehran) bado yako palepale na nilipokutana na rafiki yangu (huyu aliweza kufanya kazi nzuri sana na Shah Riza kule Middle East) wa siku nyingi sana pale Boston, akanihakikishia kuwa lengo lilipangwa kutimia 2018 au 2022 hivi!. Kule Saudi Arabia na sehemu nyinginezo ameweza kutumiwa sana na hawa ‘‘mabosi’’ wake kwenye masuala ya biashara.

Rostam anafanya kazi kubwa na nyingi za kibiashara na kisiasa na CIA kama agent wao muhimu sana Afrika huku yeye akisaidiana na mtandao wa CIA kule South Africa na ku-control sehemu kubwa Afrika Mashariki na Kati na sehemu nyingine za afrika ambazo US itakuwa na maslahi nazo. Mambo machache aliyoweza kufanikisha ni pamoja na kumfikisha Raila hapo alipo, mikataba ya kimaslahi na Salva Kiir achilia mikono ya Rwanda na Uganda kule Congo, na Madagascar

Wakati Bush amekuja Tanzania. Kule Arusha, viongozi wa makampuni makubwa yanayomiliki migodi mikubwa ambayo Bush, US na CIA ina maslahi nayo kutoka karibu kila kona ya dunia walikusanyika na walielezea ni kwanini biashara haiendi vizuri. Hakuna mtanzania yeyote Yule aliyehudhuria except Rostam. Nani alimwalika na alihudhuria akitokea wapi?! Pale waliazimia mambo makubwa na ya hatari sana. Rostam anajua vizuri what happened na maazimio yale yalilenga nini.

Ukirejea hata kifo cha rais Magufuli,alianza kujiskia vibaya punde tu alipotoka katika kiwanda chake na it's true kuwa alivutishwa hewa chafu akiwa hapo kabla ya Dkt Janabi kufanya kazi yake ya kitaalam,lakin niwarejeshe mwaka 1995 wakati wa uchaguzi mkuu wa ndani ya chama wa kumpata mgombea urais miongoni mwa makundi ambalo lilitwa "wanamtandao" Rostam Aziz ndiye aliyefanikisha na by then pesa zote zilitolewa na kutumika ila kwa kupitia vivuli vya wanasiasa ndio maana mpaka leo Eddo alionekana anapesa sana lakin behind this,Rostam Aziz ndiye aliyekuwa ana facilitate harakati zote za 1995 na 2005.

Nguvu aliyokuwa nayo Rostam azizi,ndiyo hiyo iliyowabadilisha wanasiasa wadogo kama akina Zitto Kabwe kutoka kuwa wapinzan wa kweli mpaka kuwa mawakala wa CIA,jeuri ya vijana wadogo kama January Makamba,Nape Nauye(hata kutabiri kifo cha Magufuli mwezi February tena kwa dharau na kejeli) nguvu ya mitandao ya kijamii na isiyoguswa wala kushikika inayowazidi maarifa hata idara za ndani za usalama zinazotoa siri za nchi(Vigogo2014) ni sehem kubwa ya ufedhuli dhidi ya serikali za haki na zinazoleta usawa kwenye jamii.

Kwa sasa,tayari nchi yetu imeshaingia katika mikono ya watu hawa,ni ngumu kuona mzalendo atakayeondoa hofu ya kifo kama Magufuli na kupambana hadharani kwaajili ya kulinda na kutetea rasilimali za taifa,gesi wamesha chukua,Rostam Aziz alishaingiza biashara zake za vifaa vya corona ikiwa na barakoa na mamimafuta ya kupaka(Hili raid Magufuli alikataa hadharani akaagiza wizara ya afya na watu kutengeneza barakoa zao wenyewe) lakin ndiko tunakorudi,tayari Kuna vitalu vya madini wanavihitaji na wamesha vipata(Tembo na simba hawali madini,naagiza yachimbwe) kifupi tunahitaji rehema za Mungu aliyejuu,lakin kamwe tusikubali kurudi ambako Magufili alituvusha..

#Note Serikali yeyote ya haki na usawa haiwezi kuambatana na matajiri wachache wenye lengo la kuweka serikali yote katika mifuko yao...
Duuh nimekuelewa sana,
 
Back
Top Bottom