Mambo gani yakuzingatia kama una ndoto za kufanikiwa kwenye biashara

Ukifanya haya utajiri au biashara yako itakua na kupas mpaka utashangaa.

Kwanza kabisa jifunze nidhamu ya pesa(financial displine) usitumie pesa hovyo hasa pesa ya mradi/project ata km ni faida, maana mtaji hujikuza kwa kujitengenezea faida.

Jitahidi kujifunza maarifa/elimu mpya ya jambo unalofanya kama ni biashara kifunze mbinu mpya na namna ya kukuza biashara kwa kujifunza kwa watu walio fanikiwa, namna ya kuongeza wateja na kuwatunza vitu kama customer care na marketing pia sales, tunasema mtu usipojifunza utazeeka mapesa sana.

Matumizi bora ya muda, kuna msemo kuwa muda ni mali hawakuongopa ukitaka utajiri jifunze kuukomboa wakati, watu tunatabia ya kuangalia faida/hasara kwa kuhusisha na cash/tasilimu ila ukweli ni kuwa tunasahau hasara na faida zinazokwendana na muda.

Uvumilivu na kuacha tamaa, ukiwa mvumilivu mwisho wake ni kutoboa tu mafanikio yapo mwishoni mwa kukata tamaa ndiyo maana watu wanaofanikiwa ni wachache kulinganisha watu tusiofanikiwa.

Uthubutu ni kitu kingine mhimu sana, kama kuna kitu kina tushinda vijana ni kukosa uthubutu na kubaki tumeng'ang'ania mambo makubwa badala ya kuanzia ata kokote na chochote tunachokiweza.

Mhimu kuliko vyote, ni SALA NA KAZI ukimuona Mungu kama kitu kidogo sana yeye atakuona siyo kitu kabisa, unaweza ukafanya yote niliyotaja hapo juu ila usifanikiwe basi jitafakari maisha yako kiroho.

Jioni njema...! Love you.
 
Ok Teacher tumekusoma ngoja nithubutu.
 
Back
Top Bottom