Mambo gani umewahi kumuomba Mungu na akakujibu papo hapo?

Nilikuwa nafuatilia uhamisho wa mdogo wangu aliyepangwa Advance, nilienda Tamisemi mara mbili na sikufanikiwa ilikuwa imebaki siku tatu shule zifunguliwe, Tamisemi wakanijibu kuwa uhamisho hujafanikiwa itabidi mwanafunzi aripoti shule aliyopangiwa! Nilipiga magoti nikamuomba Mungu, kisha nikasali sala ya Bwana, baada ya nusu saa Tamisemi walinijibu kuwa uhamisho umepatikana!!
 
Nilikuwa chooni, bado mtoto mdogo miaka nane hivi, baada ya kumaliza kukata gogo nafungua maji bombani holaa!! Nikafunga bomba alafu nikamuomba Mungu, baada ya sala nikafungua tena, maji hayoooo......HAKUNA ZAIDI YA MUNGU.
 
Nilikuwa nafuatilia uhamisho wa mdogo wangu aliyepangwa Advance, nilienda Tamisemi mara mbili na sikufanikiwa ilikuwa imebaki siku tatu shule zifunguliwe, Tamisemi wakanijibu kuwa uhamisho hujafanikiwa itabidi mwanafunzi aripoti shule aliyopangiwa! Nilipiga magoti nikamuomba Mungu, kisha nikasali sala ya Bwana, baada ya nusu saa Tamisemi walinijibu kuwa uhamisho umepatikana!!
Amen
 
Me kwenye kazi zangu za umeme Mungu huwa ananisaidia sana.....unakuta kuna fault nahangaika nayo sipati majibu lakin nikifunga macho tu na kusali Mungu ananionyesha fasta....nmegundua dhambi zetu ndo zinatuweka sana mbali na Mungu lakin daima yupo kwaajili yetu!
 
Back
Top Bottom