1. Ishi kama wewe, huwa sijali mtu atasema nini kuhusu mimi. (I enjoy my life while I can)
2. Kutoa sadaka sio kupeleka kwa Mwamposa bali ni kuwasaidia walio karibu na wewe wenye uhitaji (simaanishi ndugu).
HapanaWewe ni Mchaga?
πHapana
ngara23Kubeti sio kazi
Kataa ndoa ni utumwa
Kuoa nako ni utumwa
Mwanaume rijali hakosi ndoa
Ya mahari nitatoa!Hela unatoa lakini?
Nilitaka kucomment kama wewe mkuu, wanawake ni kama wapo duniani kwa ajili ya mapenzi tu.Mwanamke
Mahusiano
Marafiki
Haya ndo mambo kila mwanamke Tanzania utayekutana nae atakuwa anakuambia
Mtumwa tuu ndiye anayeoa au kuolewaMwanaume rijali hakosi ndoa
Aliyeanza kuuharibu ni wewe kwa kuni quote kwenye mambo ya kufunga na kusali.Unataka kuaribu uzi wa watu tuu...
Dawa yako inachemka
Mwanaume hukosi familia yakoMtumwa tuu ndiye anayeoa au kuolewa
2024 nilichojifunza ni kutopararakia watu ambao walishaonyesha interest za kutokuwa pamoja na wewe hiki ni kisasi bora kabisa.
Pili kuheshimu muda kuliko vyote.
Tatu, kuwa na roho ngumu na kujiamini sambamba na kusimamia maamuzi yako
Kabisa MkuuNaam nimejifunza hilo pia, kama hailipi badilika.
Pole Jojo; and Happy New Year too. You were terribly missed ππΏKiufupi rafiki yako hatakiwi hata kukutana na mpenzi wako
Nataman kukuuliza vingi Ila ngoja nijitahd wiki hii ntaleta mrejesho....Huna imani weweπππ,.
Unafunga siku tatu mfululizo,. Ila mama angu alinambia kama huwezi kuvumilia unaweza ukawa unakunywa maji ule mda wa kufuturu jioni lakini usile kitu kingine chochote zaidi ya maji mpaka siku tatu zikamilike
Namba 2 π1. Hakuna mamlaka duniani inayowekwa na Mungu.
2. Siasa na Dini ni moja ya Biashara kubwa duniani na zimejaa matapeli .
3. Umaskini ni tatizo la kitaifa ila ni shida ya kifamilia.
4. Huwezi kufanikiwa ukiwa kipenzi cha wengi.