Mambo gani nikiyafanya hapa forum naweza kutumbuliwa na ma-mods

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,472
Salamu zenu wakuu!
Ikiwa dhana ya utumbuaji wa majipu imeshika sana kasi katika kila sehemu.Napenda kujuzwa ni mambo gani nikiyafanya sasa hivi kwenye hii forum naweza kutumbuliwa na hao wakuu wa forum?
Michango yenu tafadhali
 
Fanya kama walevi wanavyofanya pindi wanapo vaa "Miwani":D
 
posti habari ya kifo tena cha mheshimiwa wa ngazi zajuu. hakika Utatumbuliwa marambili hadi raha. au post habari kuhusu mwanahalisi forum tena isifie mnoo (mbaya wake Jf huyo) aisee utatumbuliwajee

au muite mtu jina lake halisi.
 
soma sheria za JF mkuu la sivyo jamaa hayana mchezo yatakung'ang'ani na kukulisha mi ban ya kumwaga.be carefully sana tena ukute yameshiba milost kuku na soda baridi watakupa ban magufuli ashindwe kukusaidia.fuata sheria kabla ujapost kitu watakutumbua jipu bila ganzi.


swissme
 
So simple yaani..we waambie tu wakutumbue(wakupe ban) . iombe tu kistaarabu..trust me, utakuja kushuhudia hapa.
 
soma sheria za JF mkuu la sivyo jamaa hayana mchezo yatakung'ang'ani na kukulisha mi ban ya kumwaga.be carefully sana tena ukute yameshiba milost kuku na soda baridi watakupa ban magufuli ashindwe kukusaidia.fuata sheria kabla ujapost kitu watakutumbua jipu bila ganzi.


swissme
Ahsante mkuu ila naona kunadalili za kuwachezea sharubu wakuu kwenye hiyo komment yako
 
Hahhahahaaaa tatty umenikumbusha mbali kuna siku niliweka kichwa cha habari 'Sijui nitapigwa ban?' Ilikuwa ni kama kujiuliza, the next day nakutana na bonge la ban reason? Eti Nimeomba mwenyewe
Imenitokea mimi last week..nilicomment "mods naomba ban pls..i want to taste the flavor". Nimepewa ban..nikapata mshangao mkubwa..na flavor niliyoipata haielezeki.
NOTE: Mods mimi hapa nahadithia tu yaliyojiri msije mkafanya kweli tena. Ila mlinionea jamani! Hamtaniwi?
 
Back
Top Bottom