Mambo gani mwanaume unapaswa kufanya kabla ya sex

Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
2,281
3,973
Habari leo naomba nishee na Ninyi kitu kidogo cha Muhimu sana kwetu wanaume, Kabla ya kushiriki tendo la ndoa Na Mwenzi wako hakikisha unakunywa maji ya kutosha ili baada ya Tendo la ndoa Uende kukojoa hii hutusaidia kusafisha Mfumo wa Uzazi na kuondoa mabaki ya Semens na mbegu zinazobaki kwenye njia ya mkojo;

Sababu mbegu huwa hazitoki zote na kuisha wakati wa ejaculation hivyo mbegu zinazobaki hufa kwenye njia ya mkojo na hutengeneza acid ambayo huathiri nji ya mfumo wa uzazi na Tezi Dume.

Pamoja na hayo yote hii ni muhim sana ipokee kwa mikono miwili mkuu nawatikia Jumanne njema
 
Huongeza nguvu za kiume dadeki nayakubali sana maji
 
Ni aje kuhusu kuzamia chumvini Mkuu? 😜
 
1. Ewe mwanaume hakikisha umekula vizuri na umeshiba.
2. Kunywa maji ya kutosha.
3. Hakikisha umeoga na kujisugua vizuri.
4. Nyoa sehemu zako za siri na makwapa.
5. Piga mswaki baada ya kuoga.
6. Hakikisha chumba ni kisafi pamoja na mashuka yako.
7. Andaa kinga yako weka juu ya mweza unapo weza fika kirahisi.
8. Andaa movie yako ya horror ili mkumbatiane vizuri.
9. Mpigie mulize amefika wapi asije kuwa haji.
10. Sali kabla hajafika usije uza mechi ukapiga kimoja ukalala.
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ 11. Hakikisha unafanya yote tuliyokubaliana kwenye mkutano wetu wa mwisho.
 
Kati ya mkojo na mbegu za kiume kipi chenye acid?
 
Dar njaa Kali watu wanashindia mihogo ya 500 na Pepsi harafu nyumban anamkee anategemea atapiga show hahhaaaa ....

Lazima upige kimono kwa shida ma ulale ..

Wengine wanashindia mhind mmoja na pilipili ,aisee


Dar hakuna titizo LA nguvu za kiume ,njaa inawasumbua sanaaa
 
namba 8 ni nomaaa πŸ€‘πŸŽƒπŸ‘ΏπŸ‘Ήβ˜ οΈ
 
Wewe jamaa jinga sana
nimecheka sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hiyo 8 nd'o mbaya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…