Mambo gani mwanaume unapaswa kufanya kabla ya sex

Habari leo naomba nishee na Ninyi kitu kidogo cha Muhimu sana kwetu wanaume, Kabla ya kushiriki tendo la ndoa Na Mwenzi wako hakikisha unakunywa maji ya kutosha ili baada ya Tendo la ndoa Uende kukojoa hii hutusaidia kusafisha Mfumo wa Uzazi na kuondoa mabaki ya Semens na mbegu zinazobaki kwenye njia ya mkojo;

Sababu mbegu huwa hazitoki zote na kuisha wakati wa ejaculation hivyo mbegu zinazobaki hufa kwenye njia ya mkojo na hutengeneza acid ambayo huathiri nji ya mfumo wa uzazi na Tezi Dume
pamoja na hayo yote hii ni muhim sana ipokee kwa mikono miwili mkuu nawatikia Jumanne njema
Duuuh
P
 
.
IMG_20210302_134146.jpg
 
Dar njaa Kali watu wanashindia mihogo ya 500 na Pepsi harafu nyumban anamkee anategemea atapiga show hahhaaaa ....

Lazima upige kimono kwa shida ma ulale ..

Wengine wanashindia mhind mmoja na pilipili ,aisee

Dar hakuna titizo LA nguvu za kiume ,njaa inawasumbua sanaaa
Unawachokoza sasa Wanaume wa Dar! Ngoja waje uone watakavyo kutishia nyau iwapo tu utakanyaga kwenye Jiji lao jipya la Ilala!!!
 
Foreplay muhimu....
Kabla ya Penetration...
Foreplay inayopelekea Mshindo/orgasm ..kilele ...

Hapo unakuwa umetoa chafu ... Watoto wasiku hizi wanaita hivyo...

Niendelee ama nisiendeleee
 
1. Ewe mwanaume hakikisha umekula vizuri na umeshiba.
2. Kunywa maji ya kutosha.
3. Hakikisha umeoga na kujisugua vizuri.
4. Nyoa sehemu zako za siri na makwapa.
5. Piga mswaki baada ya kuoga.
6. Hakikisha chumba ni kisafi pamoja na mashuka yako.
7. Andaa kinga yako weka juu ya mweza unapo weza fika kirahisi.
8. Andaa movie yako ya horror ili mkumbatiane vizuri.
9. Mpigie mulize amefika wapi asije kuwa haji.
10. Sali kabla hajafika usije uza mechi ukapiga kimoja ukalala.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Amri kumi za ghetto
 
Habari leo naomba nishee na Ninyi kitu kidogo cha Muhimu sana kwetu wanaume, Kabla ya kushiriki tendo la ndoa Na Mwenzi wako hakikisha unakunywa maji ya kutosha ili baada ya Tendo la ndoa Uende kukojoa hii hutusaidia kusafisha Mfumo wa Uzazi na kuondoa mabaki ya Semens na mbegu zinazobaki kwenye njia ya mkojo;

Sababu mbegu huwa hazitoki zote na kuisha wakati wa ejaculation hivyo mbegu zinazobaki hufa kwenye njia ya mkojo na hutengeneza acid ambayo huathiri nji ya mfumo wa uzazi na Tezi Dume
pamoja na hayo yote hii ni muhim sana ipokee kwa mikono miwili mkuu nawatikia Jumanne njema
Nonda za ukweli
 
😂😂😂😂😂ukinogewa na utamu wa chumvi wanavyodai wataalamu hushuka tena chumvini wakafanya yao kisha wakaendelea kugegeda 🤣🤣🤣🤣 Mkuu majina yote mazuri hilo la Matanga kwanini lakini?
Kabla ya kugegeda ndy Safi maana unamuandaa kabla hajaanza kutafunwa
 
Back
Top Bottom