Mambo gani mwanaume unapaswa kufanya kabla ya sex

Mungu aliwahi sema siyo kila aniitae Bwana bwana ataingia ktk ufalme wa mbinguni....
Hata ulalemo humo mpaka.... Ndo maana nasema!!..

Msione ajabu kumkuta jiwe mbinguni akiwa na idd amin kiroho safi wanapeana high...
 
Khaaaah kuna wanawake wanaomeza huo uchafu?
Tobaaaaah!! Dunia simama nishuke lol.
ule siyo uchafu!! Elewa!! Yaani mbegu ni uchafu??
Omba msamaha jf usije kuwa tasa kwa kufuru hii!!

Wewe na kila mtu umetoka hapohapo!!
Hata alie vumbua hii computer unayoitumia

uhai wa Dunia unasema uchafu? Weweweweeeeee....
 
ule siyo uchafu!! Elewa!! Yaani mbegu ni uchafu??
Omba msamaha jf usije kuwa tasa kwa kufuru hii!!

Wewe na kila mtu umetoka hapohapo!!
Hata alie vumbua hii computer unayoitumia

uhai wa Dunia unasema uchafu? Weweweweeeeee....
Duuuh bas naomba nisamehe mwenzio.
 
Duuuh bas naomba nisamehe mwenzio.
Basi nimekusamehe bure! Baby mzuri mzuri. Na Dunia pia imekusamehe kwa niaba.

Mpaka kakaangu anacheka niko nae hapa.... Ukitaka sawa km vipi aina shida...
 
Habari leo naomba nishee na Ninyi kitu kidogo cha Muhimu sana kwetu wanaume, Kabla ya kushiriki tendo la ndoa Na Mwenzi wako hakikisha unakunywa maji ya kutosha ili baada ya Tendo la ndoa Uende kukojoa hii hutusaidia kusafisha Mfumo wa Uzazi na kuondoa mabaki ya Semens na mbegu zinazobaki kwenye njia ya mkojo;

Sababu mbegu huwa hazitoki zote na kuisha wakati wa ejaculation hivyo mbegu zinazobaki hufa kwenye njia ya mkojo na hutengeneza acid ambayo huathiri nji ya mfumo wa uzazi na Tezi Dume.

Pamoja na hayo yote hii ni muhim sana ipokee kwa mikono miwili mkuu nawatikia Jumanne njema
Lipia Tangazo
 
Back
Top Bottom