Mambo gani mwanaume unapaswa kufanya kabla ya sex

Kunywa maji ya dafu yenye nyama laini lile rojorojo afu piga tikiti maji umemaliza kabisa.
 
Foreplay muhimu....
Kabla ya Penetration...
Foreplay inayopelekea Mshindo/orgasm ..kilele ...

Hapo unakuwa umetoa chafu ... Watoto wasiku hizi wanaita hivyo...

Niendelee ama nisiendeleee
Foreplay manzi ukimnyonya titi linatoa chumvi ni kuingiza tu mkuu
 
Ko hata wazee wa nyeto unakunywa maji ya kutosha then unaenda kukipiga?😂😂😂😂😂
 
Habari leo naomba nishee na Ninyi kitu kidogo cha Muhimu sana kwetu wanaume, Kabla ya kushiriki tendo la ndoa Na Mwenzi wako hakikisha unakunywa maji ya kutosha ili baada ya Tendo la ndoa Uende kukojoa hii hutusaidia kusafisha Mfumo wa Uzazi na kuondoa mabaki ya Semens na mbegu zinazobaki kwenye njia ya mkojo;

Sababu mbegu huwa hazitoki zote na kuisha wakati wa ejaculation hivyo mbegu zinazobaki hufa kwenye njia ya mkojo na hutengeneza acid ambayo huathiri nji ya mfumo wa uzazi na Tezi Dume
pamoja na hayo yote hii ni muhim sana ipokee kwa mikono miwili mkuu nawatikia Jumanne njema
Haya bwana
 
Mkuu inaonekana hauna nguvu za kiume
Kama wewe ni Ke nipe PAPUCHI yako niidadavue harafu utaleta mrejesho humu Ila Kama wewe ni Me Sina namna maanimm ni mcha MUNGU siwezi kukufumua MARINDA
 
Habari leo naomba nishee na Ninyi kitu kidogo cha Muhimu sana kwetu wanaume, Kabla ya kushiriki tendo la ndoa Na Mwenzi wako hakikisha unakunywa maji ya kutosha ili baada ya Tendo la ndoa Uende kukojoa hii hutusaidia kusafisha Mfumo wa Uzazi na kuondoa mabaki ya Semens na mbegu zinazobaki kwenye njia ya mkojo;

Sababu mbegu huwa hazitoki zote na kuisha wakati wa ejaculation hivyo mbegu zinazobaki hufa kwenye njia ya mkojo na hutengeneza acid ambayo huathiri nji ya mfumo wa uzazi na Tezi Dume
pamoja na hayo yote hii ni muhim sana ipokee kwa mikono miwili mkuu nawatikia Jumanne njema
Nimekuja kwa fujo nikijua kuna nondo zile za kufa mtu, nondo za nini kifanyike ili mpate raha duniani, kumbe ni swala la njia za kuzia tezi dume

Heading badilisha sema njia za kujuzuia na tezi dume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Ewe mwanaume hakikisha umekula vizuri na umeshiba.
2. Kunywa maji ya kutosha.
3. Hakikisha umeoga na kujisugua vizuri.
4. Nyoa sehemu zako za siri na makwapa.
5. Piga mswaki baada ya kuoga.
6. Hakikisha chumba ni kisafi pamoja na mashuka yako.
7. Andaa kinga yako weka juu ya mweza unapo weza fika kirahisi.
8. Andaa movie yako ya horror ili mkumbatiane vizuri.
9. Mpigie mulize amefika wapi asije kuwa haji.
10. Sali kabla hajafika usije uza mechi ukapiga kimoja ukalala.
Hizi kanuni zako hizi zinakinzana na jinisia ya Me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari leo naomba nishee na Ninyi kitu kidogo cha Muhimu sana kwetu wanaume, Kabla ya kushiriki tendo la ndoa Na Mwenzi wako hakikisha unakunywa maji ya kutosha ili baada ya Tendo la ndoa Uende kukojoa hii hutusaidia kusafisha Mfumo wa Uzazi na kuondoa mabaki ya Semens na mbegu zinazobaki kwenye njia ya mkojo;

Sababu mbegu huwa hazitoki zote na kuisha wakati wa ejaculation hivyo mbegu zinazobaki hufa kwenye njia ya mkojo na hutengeneza acid ambayo huathiri nji ya mfumo wa uzazi na Tezi Dume
pamoja na hayo yote hii ni muhim sana ipokee kwa mikono miwili mkuu nawatikia Jumanne njema
Kwahiyo na wanawake wanaopenda blowjob na kuzimeza zile sperm unataka kuniambia zina madhara gani kwao, maana wao wanasema zinawaongezea hips dont lie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mahali Bible imekataza watu wasioe au kuolewa mnajipa dhambi bure kufanya mapenzi na masister
hawajasema ivo usiwalishe maneno ya kizushi.

Wao wamefuata mfano wa Mungu hana mke!! Na wao ovoivo! Kwa sababu.

Biblia hiyohiyo inasema "binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu".basi na wao ni Mungu kwa nguvu ileile.tatizo liko wapi???.kumbuka..

Na siyo kila binadamu ameumbwa kwa mfano huo. km wewe sidhani km ni mfano wa Mungu aliye hai!!
So..

Duniani kuna viumbe wengi wenye radha na haiba tofauti tofauti, ya kishetani.na ya kiMungu pia!

Tena wanajijua kabisaa.kuwa wao ni wana wa mashetani hata humu mko wengi.Tunawajua kirahisi sana.na waleee wa Mungu wanajijua sana tu Hiyo moja..

Pili kuna watu wengine wa Mungu wanaazimwa na shetani ili wamtumikie shetani kwa muda wao. kupoteza wateule bila wao wenyewe kujua kwa mfano yuda! 😠
 
Back
Top Bottom