Mambo gani haya?

sumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
309
Reaction score
415
Ni nchi gani nyingine hapa duniani hutokea Mambo ya ajabu Kama haya?, haiwezekani nijiunge kifirushi Cha tsh2,000 kupata MB 1024 halafu Tena wanatuma sms eti nilijiunga kifirushi Cha tsh 1,000😲.

Wakubwa huu siyo ujambazi?
 
Ulishawahi nunua kitu dukani cha laki moja afu muuzaji akakupa RISITI imeandikwa elfu ishirini???

Ndio hio sasa.

#Wakimbia_Kodi
 
Vifurushi vipo Malawi wanacho cha wiki 4gb ni 2000 malawi kwatcha kama 3500 Tsh aisee kwanza hawazimi data wale jamaa na vifurushi havikimbii ukikaa siku tano kwa 4gb unashangaa ukiwa mpakani kasumulu ukague imebaki ngapi unakuta umetumia 2gb ila ukiingia Tanzania na kifurushi cha gharama hiyo hiyo unafika Mbeya unapewa hizo 75% ya matumizi...nadhani haya makampuni sehemu yanayoiba kirahisi sasa hivi ni data waziri na TCRA yao hawapo kwa ajili ya wananchi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…