Mambo ambayo wanaume tunakosea wakati wa kutongoza

Halafu ukiwa na mabinti halafu huna hela haikusaidii... Unadhani ni demu gani wa ukweli anataka kwenda kuchapiwa gesti ya alfu 6? Umpandishe boda boda kwenda gesti na kurudi? Halafu msosi wa kubabaisha? Mwisho wa siku utajikuta unawapiga chenga kwasababu huna hela. Cha msingi tafuta hela,kwanza mademu wakutafute wenyewe. Note: hapo kwenye number 1 ndio watu wanakosea. Hakikisha unachukua number ya demu at the first place... Maana usipomuomba namba hata yeye atakushangaa! Sasa mtaonana vp tena!? Ila kabla hujaomba number lazima uijue mood yake kama hapo kwenye number 3 ulivosema. Lazima uweke mazingira ya kuomba number otherwize badala ya number utaambulia matusi au kejeli.
 
Babu jiheshimu!MI MWENYEWE HAPA NATUMIA TECNO SMAT PHON NI KALI,NAFANYA ALMOST EVRYTHNG AMBAVO WW UNAWEZA FANYA KWNY CM UNAZOZIJUA!FANYA UTAFITI UCKARIRI TU MAJINA YA CM!
 
TECNO tecno tu mzee kama phantom ndo kubwa jingaaaaaa

huna point wewe kuna tecno phantom zimetoka sasa ni nzuri sana tena imara kushinda hata baadhi ya samsung galaxy.Kwanza wewe ndio mshamba mkubwa hapa mjini watu wanajitahidi kununua simu kali kumbe masikini wa kutupwa,kama unatumia kigezo cha simu kali sidhani kama utafanikiwa kutongoza maana tushawajua hamna kitu nyie zaidi ya hivyo visimu.
 
Hivi kufanya kazi Bank ndo kuwa na hela?
Afu siku hizi watu hawatongozi, ni krb tule baadae twende nzetu tukalale nina usingizi kwishney!
 
Hivi kufanya kazi Bank ndo kuwa na hela?
Afu siku hizi watu hawatongozi, ni krb tule baadae twende nzetu tukalale nina usingizi kwishney!

Twilumba ni majina ya kabila gani?ni wanaume na Wanawake wanaitwa twilumba?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom