Mambo ambayo wanaume tunakosea wakati wa kutongoza

1.PAPARA
wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako.
2.KUJIFAKE
wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno
3.KUTOSOMA MOOD YA MWANAMKE
unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,,
4.KUMPONDA UR EX LOVER
mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.
5.KULALAMIKA
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.UKITULIA NA KUMTONGOZA MWANAMKE BILA KUYATENDA HAYA MBNA UTAMPATA KILA UMTAKAE.HAKUNA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI
Kama kinyume cha hayo ndio mafanikio basi nakata rufaa hapo penye nyekundu!!!!!!!!!!! jaribu uone kama utampata kwa kumsifia ex wako!
 
hivi bado wanawake wanatongozwa? Dah! Pole yao wanaotongoza na kukutana na vizuizi
Labda hatujui maana ya kutongoza. Kutongoza ni process nzima kutoka unapokutana na dem hadi una mvua chupi for the first time. Sasa waweza kutumia mbinu yeyote hapo. Kwa sababu hamuwezi kukutana na dem halafu ghafla mkajikuta mko chumbani uchi.

kutongoza haina maana ya kumsomesha unajua nakupenda, ohh nikinywa maji nakuona kwenye glass, usiku silali nakuota na longo longo zingine.

So anachojaribu kusema jamaa bado kina hold water kwa sababu hata kuxiena na dem hadi mnavuana chupi hakuhitsji papara. Wakati wa kuzoeana kwenu lazima mtakua mnapiga story; you need to be real katika hizo story; atakuuliza status yako n.k.
 
Du umejidanganya wanaume ni wajanja sana mara nyingi wanatongoza kutokana na mazingira. Mathalani unataka kumega baamedi huna haja ya kutumia msuli kutongoza we ili mradi upange bia kiaina kisha mambo yanakuwa safi. Kuna mademu wengine wanaojifanya wajanja kama wewe wameingizwa mjini na masela kwa kushobokea vitu vikubwa.
 
jiangalien nyie msemao hamtongozi ...mbona hamsemi mnafanyaga nn (mnabaka,mna2mia hela,mnatongozewa? au shirki) bnafs nipo njia panda fungukeni bhas ujue au ndio mnafuaa mkumbo ?

am still aproching......cjijui nimshamba kias gan mie...km mmegundua njia mpyaa...ebu 2ione..
 
Kutongoza ni wastage of time ni ushamba pia.wanawake wa vijijini ndiyo wanatongozwa.huku town ukitongoza ujue utakataliwa tu kwani utaonekana ndiyo umeingia town.siku inamata unanini mkononi

kwan ww ukimtaka mwanamke unakuaga unafanyaje?hutongozi au?ebu nipe uzoefu wa hili maana naisi nko nyuma kwa hii style
 
Du umejidanganya wanaume ni wajanja sana mara nyingi wanatongoza kutokana na mazingira. Mathalani unataka kumega baamedi huna haja ya kutumia msuli kutongoza we ili mradi upange bia kiaina kisha mambo yanakuwa safi. Kuna mademu wengine wanaojifanya wajanja kama wewe wameingizwa mjini na masela kwa kushobokea vitu vikubwa.
sm time jaribu kufikiria ...uckurrupuke...rejea kusoma
hiy thread upyaa...
hata uyo baamed huwez kukurupuka hvyo..coz ubaamed c umala.....y..a mbona MTOA MADA KAELEZEA V2 MUHIM km kuutokukurupuka,mood n.k Na c kutumia nguvu nying kulikoo utashi..
 
pamoj kalagabaho
 
1.PAPARA
wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako.
2.KUJIFAKE
wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno
3.KUTOSOMA MOOD YA MWANAMKE
unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,,
4.KUMPONDA UR EX LOVER
mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.
5.KULALAMIKA
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.UKITULIA NA KUMTONGOZA MWANAMKE BILA KUYATENDA HAYA MBNA UTAMPATA KILA UMTAKAE.HAKUNA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI

Kutongoza ni sanaa na sanaa yoyote inaitaji ubunifu. namba 3 na 4 me naona ndio kidogo ziko sawa bt hizo nyingine umechemka mdau.1.usipo chukua namba ya simu siku ya kwanza mtawasiliana vipi siku hizi namba inakupa hadi jina la mtu so namba muhimu kuliko jina.
2.Tecno mbona ni simu nzuri tu au we bado unawaza simu ni iphone.nokia na samsung.swala la kudanganya ndilo wanawake wanapenda wewe sema ukweli. eti hooh naishi kwa mfuga mbwa.kazi yangu muuza samaki feri.mtoto wa kiasure utabaki kuwaona kwenye tv tu.
5.Kulalamika ni sawa na kuimba wimbo wa mapenzi lazima ausikilize na majibu yake ni hapo kwa hapo.

Ushauri wa kiutuuzima.Daima hauwezi kupoteza mabinti wakati uko busy kutafuta hela bt utapoteza hela nyingi sana ukiwa busy kufukuzana na mabinti.

Jitahidi fedha ikutumikie sio wewe uitumikie.
 
Kutongoza ni wastage of time
ni ushamba pia.wanawake wa vijijini ndiyo wanatongozwa.huku town
ukitongoza ujue utakataliwa tu kwani utaonekana ndiyo umeingia town.siku
inamata unanini mkononi

Mkuu, kijijini kwetu ukifika toka town tu, tayari unagombaniwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom