Mambo ambayo huwa yananishangaza

Mambo ambayo huwa yananishangaza

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,190
Reaction score
5,058
1. Kwanini mke wa mtu huwa ni mtamu sana?
2. Watu wanaokunywa pombe za kienyeji huwa na mionekano ya maisha magumu sana si wanywaji wala wauzaji?
3. Wanawake huwa wanawaza na kupambana kumtawala mwanaume
4. Kuna ulimwengu mwingne watu ambao walishaaga dunia wanaishi mfano unakuta mtu kama karukwa na akili anazungumzia kuwaona marehem nduguze pia kuna shuhuda humu zmo kuonyesha ipo sehemu raia wanaish maisha kama ya hapa dunian kuna majumba, usafiri nk.
5. Ukiwa mtu mwema na watu wakawa wanakuhitaji kwny mambo kadhaa ww ni msaada wao sku ukiondoka eneo hilo wapo watakaoanza kukusema vibaya bila sababu za msingi
6. Ukimkopesha mtu hela au bidhaa uwenda ndo ukawa mwanzo wa uadui wenu na kutokuonana tena
7. Maskini wanaombea sana waliofanikiwa nao wawe maskini kama wao
8. Ukiwa huna hela njaa inakupga vibaya sn na ukila haushibi
9. Ukmuajiri mtu kwny kaz yako hajali kbs yuko tyr upate tu hasara ila mwisho wa mwez anataka chake anasahau faida ya kaz hiyo ndo kuna mshahara wake.
ONGEZEA MENGINE..
 
7. Maskini wanaombea sana waliofanikiwa nao wawe maskini kama wao. Umesahau ( Kuliko wanavyojiombea wao wapate mafanikio)

Namba 1. Sikuungi mkono, kwanin utembee na Mke wa Mtu?
 
Namba saba ni uongo : maskini wanawapenda sana matajiri mpaka kuwashobokea , ila wanakuwa na inferiority complex pale ambapo tajiri akionesha hawahitaji kwenye cycle yake..

Hakuna tajiri ambaye han chawa ,ukienda hata uswazi vibaka hawawezi kumkaba tajiri zaidi ya maskini wenzao.


Dunia inaweza kuwa na ulimwengu mwingine ,ukitaka kujua ngoja ufike umri kama miaka 65 hivi .Utaona mambo mengi ni kawaida sana wala hauna tamaa kabisa .
 
1. Sio mke wa mtu hata demu wa mtu ni kwa sababu binadamu wengi hasa weusi hawapendi kuona binadamu mwenzake anafuraha, watataka cheo chako, mke wako, gari yako, kipato chako na kila kitu ule utamu unaousikia ni satisfaction ya kumkomoa mwenzio
 
Back
Top Bottom