Mambo ambayo dhahiri hayakwepeki kutekelezwa na Rais yeyote ajaye wa Tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ambayo dhahiri hayakwepeki kutekelezwa na Rais yeyote ajaye wa Tanzania.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Oct 27, 2010.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mambo ambayo dhahiri hayakwepeki kutekelezwa na Rais yeyote ajaye wa Tanzania.
  1. Elimu ya lazima kuwa zaidi ya darasa la saba.
  2. Kuhakikishia wananchi makazi bara.
  3. Kudhibiti mfumuko wa bei za bidhaa muhimu kama sembe,sukari,mafuta taa,vifaa vya ujenzi na zana za kilimo.
  4. Kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
  5. Kuandaa mchakato wa kuandaa katiba mpya ya Tanzania itakayoendana na mfumo wa vyama vingi.
  6.
  7.
  8.
  Ongezea...........
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  6.Kupambana na ufisadi;
  7.Kupunguza utegemezi katika bageti ya nchi;
   
 3. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,319
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Wa kutekeleza hayo na zaidi ya hayo ni DR wa ukweli SLaaaaa
   
Loading...