Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mapenzi

MKUUU IYO NI NATURE YA WANADAMU .

ALAFU NAKUHAKIKISHIA ,,AS LONG AS UMENENA UKWELI MTUPU.

WANAOPINGA HUWA NIWANAFIKI AMBAO MOYONI HUSEMA IVI ** Jose kaongea ukweli*

Brother ,,,hiii dunia ukiisoma vzuri haikupi shida.
Kweli kabisa aisee ndio hivyo inabidi tujifunze na tuukubali ukweli hata kama ni mchungu
 
Kweli kabisa aisee ndio hivyo inabidi tujifunze na tuukubali ukweli hata kama ni mchungu
Kabisa mkuuu !!!

Huwa Nina sheria zangu Fulani ndani ya kichwa changu ambazo kwao naziishigi na naziheshimu sana datz y * hawa wanadam hawanipi shida*.

All in all ,,Anayekupinga sio kitu ni MCHAWI.
 
Katika wanawake 10 wenye hekima na busara za hali ya juu hapa jamvini na wewe umo mama ila usiniulize kuhusu majina ya hao wengine 9 na nikupangie wa kwanza mpaka wa kumi hilo sitaliweza :):). Kukusoma humu huleta faraja sana kujua bado kuna wanawake wenye mtazamo kama kama huu.

Hiyo ya kulinganisha bhana huwa inawafanya wanaume wajisikie vibaya mnoo, hata kwa wanawake ila kwa wanaume zaidi!!!!

Huyo ni mwanaume wako, ulimpenda ukamchagua sasa unamlinganisha na fulani ili iweje labda!!!! Tunalalamika wanaume hawana nguvu za Usiku lakinii Sisi ni chanzo namba moja, sababu ya midomo yetu.

Naamini sio wanawake wote ila weeengi jamani midomo yetu inaweza jenga na inaweza bomoa pia!!!!!
 
Katika wanawake 10 wenye hekima na busara za hali ya juu hapa jamvini na wewe umo mama ila usiniulize kuhusu majina ya hao wengine 9 na nikupangie wa kwanza mpaka wa kumi hilo sitaliweza :):). Kukusoma humu huleta faraja sana kujua bado kuna wanawake wenye mtazamo kama kama huu.
Nashukuru kwa kuliona hilo BAK, nawe pia Sijawahi choka kukusoma kwenye lile jukwaa la wagumu!!!!
Asante mnoo na barikiwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom