Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mapenzi

Hiyo ya kulinganisha bhana huwa inawafanya wanaume wajisikie vibaya mnoo, hata kwa wanawake ila kwa wanaume zaidi!!!!

Huyo ni mwanaume wako, ulimpenda ukamchagua sasa unamlinganisha na fulani ili iweje labda!!!! Tunalalamika wanaume hawana nguvu za Usiku lakinii Sisi ni chanzo namba moja, sababu ya midomo yetu.

Naamini sio wanawake wote ila weeengi jamani midomo yetu inaweza jenga na inaweza bomoa pia!!!!!
Nimekupa likes kiuhalali msalimie dadangu emmyta
 
Back
Top Bottom