Deeplowmatt
Member
- Aug 11, 2021
- 71
- 97
Very interesting
Mi nilivoona inahusu namba namba, nikaachana nayo. Sijawahi kumsifu Mwl wangu wa Maths.
Same to meDuh hiyo ya hao ndugu waliogongwa na Taxi moja derava huyo huyo sehemu na abiria yule yule imenishangaza zaidi
Hizo Kanuni unazijua unitajie !? Maana nikifa sitaki kurudi tena ktk huu ulimwengu uliojaa matesoNi imani ya baadhi ya madhehebu ya dini za kiasia, nadhani hata za kiafrika pia. Kwamba ukifa hapa duniani, utazaliwa kiumbe kingine au mtu mwingine hapahapa duniani. Ubora wa kiumbe kijacho hutegemeana na maisha unayoyaishi leo.
Mfano, simba mwema akifa anaweza akazaliwa binadamu mkatili kidogo kama simba, akijitaidi nae akifa anaweza kuzaliwa mtu mwema. Imani hii inaonesha kwamba maisha ni mzunguko tu wa shida duniani.
Kwa imani hii, peponi au paradiso ni kutoweka kwenye huu mzunguko. Kuna kanuni nne zmezaa nane ukizifuata, ukifa mwili wako unatoweka nje ya mzunguko huu wa shida, na kuishi tena kunakoma.
Kuna risasi Alipigwa kichwani kichwa kikafunuka ubongo ukamwagika video zipo YouTube. Mpaka mkewe alikuwa ana hangaika kuokota fuvu la kichwaKennedy alipigwa risasi ya shingo, siyo kichwa. Soma vizuri upelelezi wa kufo chake.
Huyu makamo wa Raisi Ina maana alikuwa na power kubwa inayo zuia mpaka agencies za usalama wa taifa kufanya uchunguzi wa kifo Cha Raisi !?Alipigwa Risasi Mbili, moja shingoni ya Kwanza, Na ya pili kichwani. Wanaosema alipigwa Risasi moja ni wale waliotaka kusema Muuaji alikuwa ni mmoja. Ukweli ni Kuwa Makamo wa Rais Lindon Johnson ndiye aliyepanga yale mauaji. Maana J F. Kennedy, Boby F. Kennedy na Martin Luther King Jr wote alikuwa na beaf nao, na wote wafe, tena wote wafe kwa kupigwa Risasi, na kwa kupigwa Risasi na Lone assassin? Probability ya hiyo kuwa ni coincidence, ni ndogo kuliko kupigwa na Radi ukiwa ndani ya Ukumbi wa Senem!
Tazama Zapruder Film, anapigwa Risasi, anajishika shingo, Mkewe anamwatamia, na Kisha anapigwa nyingine Ubongo unasambaza na Mkewessafari hii anapanic anaruka kuokota kipande cha fuvu kilichofumuliwa kutoka kichwa cha Kennedy!
Shikamoo natureHawa mapacha wa kiume wanaofanana (identical Twins), waliasiliwa (adopted) na familia mbili tofauti mara tu baada ya kuzaliwa
Hizo familia zilizowaAdopt hao watoto zilikuwa hazifahamiani kabisa ila kila Familia ilimpa jina la JIM kwa mtoto waliyemuadopt, Hivyo hao mapacha wote walikuwa na jina la Jim
Baada ya hao wakina Jim kukua, kila mmoja akaamza maisha yake, lakini walikuwa na ufanano huu
1: Wote walijiunga na Law-Enforcement Training
2: Wote walikuwa na uwezo wa Mechanical Drawing na Capentry
3: Wote walioa wake wanaoitwa Linda
4: Wote walipata mtoto wa kiume na kila mtu kwa upande wake walimuita mtoto huyo James Allain
5: Hao mapqcha waliwataliki wake zao wa kwanza (Linda) na kila mtu alioa mke mwingine na huyo mke aliitwa Betty
6: Wote walikuwa wanamiliki mbwa aliyekuwa anaitwa Toy
7: Mapacha hao (Jim Lewis na Jim Springer) walikutana kwa mara ya kwanza mwezi Feb, 9- 1979, ikiwa ni miaka 39 ya kutengana
View attachment 464263
Inatisha na kuhuzunisha clip zipo YouTube mkewe anaruka kwenda kufuata ubongo uliopo ktk fuvu lililo fumuliwa Kwa risasiDaaaaah Mkuu nimeogopa sana pale Kennedy alipopigwa risasi ya kichwa.
Kwa maana hiyo alifumuliwa kichwa chote?
Mungu wangu sikuwa nikijua hili