Mambo 5 yatakayochangia Rais Samia asiendelee baada ya 2025

Mambo 5 yatakayochangia Rais Samia asiendelee baada ya 2025

Angalau kavumilia ripoti ya CAG tofauti na yule mtangulizi wake Mzee Ibilisi aliyemfukuza kazi CAG wa wakati ule ndugu Mussa Assad.
Vipi huyo ajuza Mwema ufisadi umeisha? Wewe ni kundi la wapumbavu badala ya kujadili hoja ya bibi yenu aloshindwa na mafisadi!
 
Vipi huyo ajuza Mwema ufisadi umeisha? Wewe ni kundi la wapumbavu badala ya kujadili hoja ya bibi yenu aloshindwa na mafisadi!
Usipanik, tujadiliane kwa utulivu ajuza kasema anawashughulikia majizi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
1. Umri (uzee), kwa umri wake anatakiwa kuwa nyumbani analea wajukuu kama JK

2. Huduma za jamii kuzorota

3. Pesa za umma kupigwa ovyo

4. Serikali kukosa fedha.. na utegemezi kwa wafadhili na mikopo.

5. CCM kukosa mwelekeo..
Misukule ya dikteta maggu mnatapatatapa
 
Akigombea atashinda ila kusema kweli Naona kama vile wanamtesa..tu.


Hiyo nafasi inahitaji mtu mgumu kidogo.

Ataondoka na lawama nyingi tu.
 
1. Umri (uzee), kwa umri wake anatakiwa kuwa nyumbani analea wajukuu kama JK

2. Huduma za jamii kuzorota

3. Pesa za umma kupigwa ovyo

4. Serikali kukosa fedha.. na utegemezi kwa wafadhili na mikopo.

5. CCM kukosa mwelekeo..
Nasikia kenya wameshindwa kulipa mishahara .na huko tunakoelekea tz tutashimdwa tu hata tz
 
Hadi huruma eti mama anafungua nchi,mpaka tuje kukaa sawa itachukua muda sana.
#CAG naye kazingatia kanuni za kazi hataki ujinga.
 
Back
Top Bottom