Mambo 5 yatakayochangia Rais Samia asiendelee baada ya 2025

Mambo 5 yatakayochangia Rais Samia asiendelee baada ya 2025

1. Umri (uzee), kwa umri wake anatakiwa kuwa nyumbani analea wajukuu kama JK

2. Huduma za jamii kuzorota

3. Pesa za umma kupigwa ovyo

4. Serikali kukosa fedha.. na utegemezi kwa wafadhili na mikopo.

5. CCM kukosa mwelekeo..
Hatuna Rais tuna msindikizaji tu, watu wanajipigia tu
 
1. Umri (uzee), kwa umri wake anatakiwa kuwa nyumbani analea wajukuu kama JK

2. Huduma za jamii kuzorota

3. Pesa za umma kupigwa ovyo

4. Serikali kukosa fedha.. na utegemezi kwa wafadhili na mikopo.

5. CCM kukosa mwelekeo..
Samia ndo Rais wa JMT hadi 2030 kwa nguvu za Mungu. Kama unabisha jinyonge
 
Akigombea atashinda ila kusema kweli Naona kama vile wanamtesa..tu.


Hiyo nafasi inahitaji mtu mgumu kidogo.

Ataondoka na lawama nyingi tu.

Chama chetu kina wababe,sasa hivi wanampara sana sababu wanaogopa kuchafuliwa cv.Ngoja ifike 2025 hataamini watakavyomtolea dirishani
 
1. Umri (uzee), kwa umri wake anatakiwa kuwa nyumbani analea wajukuu kama JK

2. Huduma za jamii kuzorota

3. Pesa za umma kupigwa ovyo

4. Serikali kukosa fedha.. na utegemezi kwa wafadhili na mikopo.

5. CCM kukosa mwelekeo..
Kama yuko Jf ameelewa na umesema ukweli 100%
 
Samia ndo Rais wa JMT hadi 2030 kwa nguvu za Mungu. Kama unabisha jinyonge
Bajeti ya 2022/2023 zaidi ya 1.4 trilion ya ujenzi wa barabara, na hakuna hata 1 km ya lami iliyojengwa na hizo pesa zipo wapi? Kweli tuna rais muwajibikaji? Je kweli tuna kiongozi? Je anatufaa kweli huyu? Madudu kibao kila idara na anachukulia poa kazi yake ni kusubiri kuletewa taarifa bila kufatilia, kusafiri nje ila wakati wakati nchi inaliwa, je anapaswa kumlaumu mtu au ajilaumu yeye mwenyewe kwa kuwa mzembe, hana uzalendo na hana uchungu wa hii nchi, madam president plz jiuzuru.
 
Tuombe Mungu usipigwe ban kufikia 2025,jiandalie pa kuificha hii aibu.
 
Anajiamini.
Media zipo free.
Wapinzani karuhusu waikosoe sirikali
Wananchi hatupotezwipotezwi.
Mikutano ya hadhara bweleleee
Nk,nk
Ukikosa uwezo unawaachia watu wafanye watakavyo, ndivyo ilivyo kwa maza wenu...hakuna kazi pale.
 
Anajiamini.
Media zipo free.
Wapinzani karuhusu waikosoe sirikali
Wananchi hatupotezwipotezwi.
Mikutano ya hadhara bweleleee
Nk,nk
Hayo kila mtu anaweza fanya.. sisi tunataka kuona serikali jenga barabara za lami hadi vijijini..sio kila kukicha unatembeza bakuli
 
Back
Top Bottom