Mambo 5 Muhimu Kujua Kuhusu Kampuni Ya Apple

Mambo 5 Muhimu Kujua Kuhusu Kampuni Ya Apple

Apple ndiyo kampuni ya kwanza ya kimarekani kufikia thamani ya dola za kimarekani Trilioni 1. Ya pili ikiwa ni Amazon ambayo imefikia hatua hiyo siku kadhaa zilizopita.

Na ndiyo kampuni yenye thamani zaidi duniani kwa sasa.
 
Back
Top Bottom