GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,655
34.Ni kosa kubwa kujihusisha kimapenzi au kuishi na Mwanamume anae zaa HOVYO na wanawake tofauti tofauti.HAMTAENDELEA KAMWE!33 . Ni kosa la kinidham kujiusisha kimapenzi Na mwanamke mbaya tena single mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu.36. Mwenye pesa kidogo tu ujue ametoa kafara. Kila mtu anasiri zake..
Sent using Jamii Forums mobile app