Sindano imekuingiaaa naonaUna gubu kama mwanamke mjane. Ukiona hilo jina unafukunyuka huko kunako haswaaa.
Mkuu....Ndie rais pekee Ana phd hajui kingereza
Jitu kama wewe inatakiwa uwe sero moja na Sethi singasinga akutatue kutwa mara 6 ili akili ikukae sawa.Sindano imekuingiaaa naona
Ova
11: mkuu inaonekana kua masikini ni sifa sana hasa tanzania
Alafu masikini uyo kakaa kwenye uwaziri miaka 20 na bado ni masikini......serious mkuu
Na mbaya zaidi unatarajia masikini uyo atakuletea maendeleo????? Endeleeni kuota tanzania ya v_wonder
Umasikini upo kwenye damu ya sizonje usitarajie masikini akuletee utajiri Umasikini unaanzia kwenye akili na mkuu ni maskini wa akili.
Tupe na wewe ya Lowassa.Hayo yote mpaka sasa yamekusaidia nini katika maisha yako?
Hayo yote mpaka sasa yamekusaidia nini katika maisha yako?