Mambo 20 usiyoyajua juu ya Rais Magufuli

Ukiona mtawala anatamaniwa na nchi kama Angola ujue huyo ni dikteta na unaendekeza utawala wa kifalme. Angola Rais wake amedumu madarakani kwa zaidi ya miaka 30, haondoki madarakani. Labda ndio maana Mwinyi amemtamania awe wa milele kama wa Angola.
 
11: mkuu inaonekana kua masikini ni sifa sana hasa tanzania
Alafu masikini uyo kakaa kwenye uwaziri miaka 20 na bado ni masikini......serious mkuu

Na mbaya zaidi unatarajia masikini uyo atakuletea maendeleo????? Endeleeni kuota tanzania ya v_wonder
Umasikini upo kwenye damu ya sizonje usitarajie masikini akuletee utajiri Umasikini unaanzia kwenye akili na mkuu ni maskini wa akili.

umechukua vile vichwa vyako bandarini? naona haters mnasaga meno kwa hasira

"mkuu ni maskini wa akili"

statement hii haiko sahihi kabisa,
 
NI KWELI. LKN WACHAWI WATAKUTUKANA SN.HAWAPENDI WASIKIE MAZURI YA MAGUFULI.WAO KUTWA KUCHA WANATAFUTA MABAYA YA MAGUFULI.WAKIKOSA WANAPANDIKIZA HATA YA UONGO.
 
Back
Top Bottom