Mambo 20 usiyoyajua juu ya Rais Magufuli

  • Anajua lugha za makabila mbalimbali (takriban makabila 30)
  • Pamoja na kuitwa Pombe, yeye mwenyewe hatumii kabisa Kilevi
 
11: mkuu inaonekana kua masikini ni sifa sana hasa tanzania
Alafu masikini uyo kakaa kwenye uwaziri miaka 20 na bado ni masikini......serious mkuu

Na mbaya zaidi unatarajia masikini uyo atakuletea maendeleo????? Endeleeni kuota tanzania ya v_wonder
Umasikini upo kwenye damu ya sizonje usitarajie masikini akuletee utajiri Umasikini unaanzia kwenye akili na mkuu ni maskini wa akili.
 
Umesahau kuwa pamoja na hizo sifa kuwa jamaa anapenda maduhu asa waliojaliwa choo cha uhakika . Asee nasikia yule presenta pale mlalakua jamaa anampenda balaa, mwambieni aache hizo atarogwa .
 
Mkuu....
Hii nadhani watu wengi hawaijui vizuri.
Kwenye uuzwaji wa Nyumba, Magufuli alitekeleza maagizo kutoka kwa Boss wake
Mkuu....
Hii nadhani watu wengi hawaijui vizuri.
Kwenye uuzwaji wa Nyumba, Magufuli alitekeleza maagizo kutoka kwa Boss wake
Ukisoma namba 4 Kikwete na Pinda walikuwa wanaogopa kumfuata nao wakiwa Maboss wake sasa Mkapa yeye kamtuma nani na kumpa agizo la kuuza nyumba? Na ukisoma namba 8 na 9 anasimamia ukweli, ukweli upi na mafisadi wakubwa kawakingia kifua waliomtangulia. Huyu jamaa na Mzee majuto hawana tofauti kwa uigizaji wa vichekesho tu
 
''Sifa zooote hizo anazo lakini DIKTETA'' J.K.Nyerere(rip).
Maneno haya yalizungumzwa na Baba wa Taifa wakti wa mchakato wa kutafuta mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 1995.
 
Back
Top Bottom