Mambo 20 Kuhusu Mtandao Wa Kijamii Wa Twitter !

Mambo 20 Kuhusu Mtandao Wa Kijamii Wa Twitter !

Mpangilio wao ni mgumu sana na ndio maana haina wateja wengi ukilinganisha na mitandao inayokuja kwa kasi ndani ya kipindi kifupi kama #Whatsapp na #Instagram
 
Niliwahi kuambiwa Mtanzania ili uipende twitter lazima uwe bright sana IQ na kila kitu

Ilinisumbua sana mwanzoni ila inavyosifiwa ikabidi nikomae nayo ila kwa sasa naenjoy tweets kuliko mtandao mwingine wowote dunian
 
Mfano mtu katweet hapahapa bongo lakini chini ya tweet hyo unaona "translate from Indonesia " huwa inamaanisha nn wanajamvi
 
Back
Top Bottom