ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,596
Wanajamvi natumain muu wazima
Uzoefu unaonyesha kuna vitu 12 venye majina mengi sana ya mtaani ambavyo ni
1.mwanamke- manzi, shery, demu, totoz, uzingizi wangu, baby, mchuchu...nk
2. Bangi- ganja, msokoto, rizim, dope, jani ...n.k
3. Tendo la ndoa - kugegeda, kutiana, kazana, lambani, nyangana, nk
4 pesa - money, dollar, mapeni, chenji, sabuni ya roho, vumba, helari, ngawira
5, kiungo cha mwanamke- uchi, nyapu, kipochi cha manyoya,ze utamu, kitumbua bila kusahau papuchi
6. Kiungo cha mwanaume - ukuni, ufito, mjeleji, rungu, mguu wa mtoto, kibamia, msumari na chuma
7.style za kufanyana.sekeseke, tangaline,kifo cha mende, kivoloa , kifo cha mende.kata mtama nk
8.pombe - laga, kinywaji, main,kilauri,nk
9.mke/ mume asiyo halali- nyumba ndogo, kibanda, mchepuko, mpango wa kando
10.kutongoza- kuimbisha, kusomesha, kupigisha sound, kushusha mistari, kubonga.
11.askari- Mkuda, noma, afande, mnoko, tigo
12. Chakula- msosi, menu, dishi,mapochopocho,maakuli, mahanjumati, mnuso nk
Wana MMU tusaidiane majina mengine zaid kwa wale wenye kujua