MAMBO 10 MAGUMU YA KUFAHAMU KUHUSU WANAWAKE...

MAMBO 10 MAGUMU YA KUFAHAMU KUHUSU WANAWAKE...

Kuna points ni za kweli kabisaaaa hapo kwenye bandiko, wanawake wana mambo mwnhi sana
 
Wanawake kina/vina virefu usipime kwa miguu! tangu enzi za mitume na manabii hakuna m2 aliyezfaham Tabia zao
 
1. Mwanamke ni kama shule, kamwe hauwezi hitimu.

2. Mwanamke anahitaji matunzo na kujaliwa usipofanya hivyo unakaribisha wengine kufanya hayo.

3. Cheti chako cha ndoa yako na yeye sio "leseni ya udereva" ni kibali cha kujifunza.

4. Inachukua muda kidogo mwanamke kukuamini, ni vigumu kumbadili akikuamini, ila ukijichanganya tu msahau! Hawezi kukuamini tena.

5. Anaweza akawa mwiba mchungu au malaika mwenye baraka, inategemeana na jinsi unavyoishi naye.

6. Ni vigumu mwanamke kusahau vitu, hukumbuka mambo yaliyopita kirahisi na hii huwaumiza sana, jizuie usimuumize.

7. Wanawake huhitaji sana kuongea pale wanapokuwa too emotional ( wakiwa wamekasirika au wameudhiwa) wanapoona mwanaume hautaki kumsikiliza, huenda na kulia kwa marafiki zao wa karibu.

8. Wanawake wanapenda sana kuombwa msamaha! anapenda msamaha mara nyingi zaidi kuliko hata anavyompenda mwanaume wake.

9. Mwanamke anapokuwa na hasira takribani nusu anayoyazungumza ni kinyume chake na hayamaanishi.

10. Wakati mgumu sana kwa mwanamke ni wakati ambao yupo mbali na mwanaume anaempenda kwa dhati sio mbali kimwili tu. Hata kihisia pia.

Nitaendelea na TIPS za upande wa wanaume muda mwingine.

f094cf6070c9b6dc4f2754daedc3bf98.jpg
Cc: mahondaw
 
Usiumizwe kichwa na mwanamke,kwani wako wengi,
usikubali mwanamke akuendeshe,hakikisha unamuendesha
= mwanamke hana mapenzi ya kweli,ukijiachia umekwisha
= ukiona mwanamke anakubali kukaa na wewe,ujue keshapiga picha siku zijazo atafaidika vipi.
= huwezi mridhisha mwanamke kwa lolote.
Wa kiumeni mnaweza ongeza
kwel kabisa
 
Back
Top Bottom