The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
Usisahau pia ni Freemason mwenye degree 3
Siyo degree 3 mkuu, ni 33 ndiyo levo ya mwisho ya hierachy ya The Ancient and Accepted Scottish Rite of FreemasonryUsisahau pia ni Freemason mwenye degree 3
Si unajua za kuokoteza hizi mkuu...!!!Siyo degree 3 mkuu, ni 33 ndiyo levo ya mwisho ya hierachy ya The Ancient and Accepted Scottish Rite of Freemasonry
ahsante kwa hayo machache lakin hyo namba 10 umenipga kirungu mshkaji wangu
Nakumbuka Beyonce alikatika ngoma zetu za kiswahili alipotoka tu kwenye gari. 2006 au 2007 kama sikosei nilikuwa naishi Komakoma.Mkuu anafikiri haiwezekani kwa Jigger kutua mitaa ya Kwa Mama Zakaria