Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 56,004
- 56,073
Kudadadeki
Kudadadeki
Ametoka chicha kinoma!
Umeona enh Mafikizolo uzee mwisho mkwaja mjini kila mtu honeyyyyyyyyyyyyy
kwelii
kapendeza balaa
Umefurahiaaaaaa umeniona hapo nilivotokelezea
Umeharibu kitu kimoja tuu wenzako wanafuga halafu wananyoa were unakipara halafu unabandika
Mama Ukawa huyu, sio Mamafacebook.Cheki V ya vidole!
hicho sio kiduku hilo ni duku....
Mama Ukawa huyu, sio Mamafacebook.Cheki V ya vidole!