Mwisho wa siku majibu utayapata huyu ndiye atakwambia ukweli kuhusu shivji.Huyu mzee naona amejishusha heshima sana.
Wamemtisha kuwa atarudi India kwani Zanzibar hana makazi na Tanganyika watamfukuza!View attachment 148753kumbe na bendera walinibebesha hawa jamaa wachawi mimi sikujuwa kama nina bendera ya Gamb.aazziii!!!
Mwisho wa siku majibu utayapata huyu ndiye atakwambia ukweli kuhusu shivji.
View attachment 148777
Mkuu mbona nasikia ni mtu wa kilosa huyu au?
Prof. Shivji huyu huyu wa Mbezi Beach au mwingine?