vp mkuu mbona umecheka sana?! Lakin mguu wa mtoto si ndio mnapenda?!
Nilikuwa na haraka ya kufungua huu uzi daa
Anyway ina urefu gani ili tujue kama mtumiaji kazoea vibamia or ulikuwa kweli mguu
Ni sauti iliyokuwa inasikika kutoka nyumba ya kulala wageni iliyo kuwa karibu na njia maeneo flani ya Kizuiani Mbagala!
Kumbe bana kuna njemba ilienda na mtoto wa kike kuvunja amri ya sita! Unaambiwa jamaa huyo alikuwa na Mashine usipime!
Zilikuwa ni kelele nyingi za mdada kiasi kwamba zilistua watu kibao wakafurika kutoa msaada wakijua kuna mtu labda anachinjwa!
Watu kibao pale kuja kuamriwa kufungua mlango binti analalamika ataniua, watu amekubaka? Hapana! Mlielewana? Ndio lakini ana dude kubwa ameniumiza!
Basi pale mabinti kibao kumbe wanamjua jamaa bana wakaanza kusema huyu kiboko mi namjua rafiki yangu alirudisha hela!
Duuuh kuna watu wana Mitarimbo hatari
Nilikuwa na haraka ya kufungua huu uzi daa
Anyway ina urefu gani ili tujue kama mtumiaji kazoea vibamia or ulikuwa kweli mguu
ina kama inch9 hvi! Vp ungekuwa ww ungevumilia? Au na ww ungepaza saut
Heee Mimi nasomaga alama za nyakati had nifike huko bhaas ntakuwa nshaamua kuvumilia na kifo cha membe lol...
Inabid now utongozaji tuongeze na hiki kipengele unabamia or mguu wa mtoto kuepusha matatizo
madude mengine kama ya kuulia nyoka loh
Si mnajifanyaga mnataka kubwa na anabahati huyo hajakutana na mimi
ha ha ha ha uuuuuuuuuuuuupsi :director:
Mmh!!!!
Mbona waguna??? na ww wataka kubwa????
Mmmmm.sipendi kubwa sana
Angalia isitokeee ya mamaaa nakufaaa ukajua moto unawaka kumbe mguu wa mtoto unasugua....