lina map...a mazuri......
Yo Yo mbona wataka kuniunganisha na magazeti ya udaku katika lawama wakati mie nimeuliza tu swali? Wala sishabikii hata kidogo udhalilishaji wa aina yoyote ile. Napata shida tu kuelewa kuwa hapo mbele ya watoto wadogo nani alimfunua huyo dada? Ni magazeti ya udaku au yeye mwenyewe?au na wewe unashabikia mama zetu wapendwa kudhalilishwa hadharani aisee?
umesomeka dadake.....Yo Yo mbona wataka kuniunganisha na magazeti ya udaku katika lawama wakati mie nimeuliza tu swali? Wala sishabikii hata kidogo udhalilishaji wa aina yoyote ile. Napata shida tu kuelewa kuwa hapo mbele ya watoto wadogo nani alimfunua huyo dada? Ni magazeti ya udaku au yeye mwenyewe?
Je kama mwandishi ni mwanamke mwenye umri kama huyo mama utasemaje ni sawana mama yake? Hapa suala la msingi ni kwamba huyo mama kajidhalilisha mwenyewe sasa mwandishi ana kosa gani kuwashirikisha wale ambao hawakuwa kwenye tukio? HAPO KAJIDHALILISHA MWENYEWE HANA WA KUMLAUMUOna hao watoto jamani walivyoshangaa!!!!!! Na nyie waandishi wa habari jamani muangalie na picha za kupiga kwa ajili ya public view, hiyo si haki kabisa huyo ni sawa na mama yako huenda hapo ni pombe ndiyo imem- drive kufanya hivyo, akiona baada ya pombe kumtoka anaweza kuchangayikiwa