Mama yangu! na hapa ni mjini, vipi huko kijijini?

Yaache hayo ma dental chairs yawe hivyo, cha ajabu nini? India imejaa tele tutaenda kutibiwa huko. Miaka 50 ya mafanikio ndio hiyo. Ambulance za bajaj ni mafanikio makubwa sana ya miaka 50. Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele.

CCM hoyeeeeeeeeeeeee. Acha kuvuruga AMANI ya Tanjania.

apa amani haivurugwi,picha zinajieleza na mbunge chaguo la wanamoro yupo hapo,kama walikuwa hawataki picha zisionekane wasingepiga picha,
 
1618579.jpg
6846757.jpg
9087395.jpg


NI CHUMBA CHA HUDUMA YA MENO MOROGORO
Wavuti - Home

kikawaida mgeni anavyokuja kukutembelea huwa unaweka mambo sawa,namaanisha hapo ndio wamejitahidi kwa nguvu zao zote kuweka viti na mazingira mazuri kwa Mh MBUGE
 
This is incredible yaani hakuna hela hata ya ku-repair hivyo viti? Unajua sisi wa-tz tunaelekea kubaya zaidi frankly speaking kutakuwa na budget ya maintanance ya vitu vidogo vidogo kama hivyo. Mshona viatu angeweza kuokoa jahazi hapo, seremala na yeye agerekebisha hizo furniture tena kwa budget hiyohiyo ndogo. Shida wa-tz sasa hatufanyi kitu chochote cha manufaa kwa nchi hadi tuangalie maslahi yetu binafsi. Tulianzia kushindwa kuchimba vyoo sasa hata kurepair viti hatuwezi wazungu wakisaidia tunawachezea na ngoma. Yaani inabidi kuwe na somo la uzalendo.
 
Hayo ndiyo matunda na matokeo ya kasi mpya nguvu mpya na ari mpya. Allah akbar.
 
Back
Top Bottom