Mama yangu hamtaki mke wangu mtarajiwa!

Mama yangu hamtaki mke wangu mtarajiwa!

we kabila gani? babu na bibi mtu ni wa tumbo moja, huyo ni ndugu wa karibu sana kwetu. Ngoja nikurahisishie, wewe una dada yako, mtoto wa mwanao anaweza kumwoa mtoto wa mwanae dadaako? hiyo ni family moja, sema siku hizi mambo ya undugu hayapo, hata mjomba anasimamia show kwa mpwa na ni kawaida tu, huo ni uchafu na mbaya kibayolojia! Kwa vile wameshazaa yeye aongee vizuri na mama yake tu, ikibidi aongee na ndugu zake wengine wakubwa, hapo kuna kulipa fine ya kuvunja undugu then wanaowana!

Yaani jamaa kala tunda kumbe ni dada yake tu kwa ufupi. Yaani huyo umpendae ukichukua vinasaba ( DNA) itatoa jibu la 99.999% ambayo ndo standard value ya DNA!
 
Ingawaje sishabiki uzinifu mliokua mnaufanya ila hapana udugu apo na kwetu sisi waislamu uyo mwanamke ni halali bila tabu yoyote...kama ni kuku basi unatafuna na mfupa wake....kwa faida ya wana janvi hii ndo orodha ya wanawake walioharamishwa kuwao katika uislam....kwa kuzingatia mahusiano ya kifamilia...

uchafu na uchukizo na ni njia mbaya.

4:23to top

4_23.png
Sahih International
Prohibited to you [for marriage] are your mothers, your daughters, your sisters, your father's sisters, your mother's sisters, your brother's daughters, your sister's daughters, your [milk] mothers who nursed you, your sisters through nursing, your wives' mothers, and your step-daughters under your guardianship [born] of your wives unto whom you have gone in. But if you have not gone in unto them, there is no sin upon you. And [also prohibited are] the wives of your sons who are from your [own] loins, and that you take [in marriage] two sisters simultaneously, except for what has already occurred. Indeed, Allah is ever Forgiving and Merciful.

Swahili
Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

 
Arifu ... nyie jamaa ni noma, ilikuwaje mkawa mnamegana ilhali mu ndugu wa damu?!Kwa maelezo yako, wazazi wako na wazazi wake ni mabinamu wa karibu na wa damu kabisa, wewe hukulijua hilo wakati unamsugua mtoto wa binamu yake mama yako...?! In short Mama yako ana haki kabisa kutokukuunga mkono na hata ningekuwa mimi nisingesapoti kitu kama hicho hata siku moja ... wenzako huwaga hawaharibu nyumbani?!

USHAURI : Umuoe ama usimuoe , gharama utakayolipa ni kubwa so uamuzi upo kwako ....
 
Ingawaje sishabiki uzinifu mliokua mnaufanya ila hapana udugu apo na kwetu sisi waislamu uyo mwanamke ni halali bila tabu yoyote...kama ni kuku basi unatafuna na mfupa wake....kwa faida ya wana janvi hii ndo orodha ya wanawake walioharamishwa kuwao katika uislam....kwa kuzingatia mahusiano ya kifamilia...

uchafu na uchukizo na ni njia mbaya.

4:23to top

4_23.png
Sahih International
Prohibited to you [for marriage] are your mothers, your daughters, your sisters, your father's sisters, your mother's sisters, your brother's daughters, your sister's daughters, your [milk] mothers who nursed you, your sisters through nursing, your wives' mothers, and your step-daughters under your guardianship [born] of your wives unto whom you have gone in. But if you have not gone in unto them, there is no sin upon you. And [also prohibited are] the wives of your sons who are from your [own] loins, and that you take [in marriage] two sisters simultaneously, except for what has already occurred. Indeed, Allah is ever Forgiving and Merciful.

Swahili
Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.


ndiyo maana tukasema inategemea na tamaduni na miiko ya kwao, hiyo uliyoandika hapo ni jamii ya warabu (na waamini wa utamaduni huo), waarabu naskia hata mtoto wa mama/baba mkubwa wanaowa tu!....shame.
 
Habarin wandugu,

Nina mpenzi wangu ambaye tulianza uhusiano tangu mwaka 2006 yeye akiwa form 2 wakati huo mm nilikuwa form 3.

Tumekuwa katika uhusiano katika kipindi chote hicho tukiwa serious na shule na tulikuwa shule tofauti japo likizo tulikuwa pamoja.

Walinifahamu wazazi wake na yeye pia kwetu walimfahamu japo hawakujua kama ni wapenzi kwa muda huo, tuliendelea na uhusiano wetu mpaka tulipomaliza shule japo nilimtangulia, niliendelea na shule baada ya kufaulu nikamuacha yeye bado na alipomaliza alienda Kusoma Ualimu grade A.

Alipomaliza Tu nakuajiliwa nikamtia mimba sasa hizi mtoto wetu ana miaka 3, tulipendana sana na msichana wangu huyo, na mama yangu alimsaidia ktk kipindi chote cha ujauzito wake wakati huo mimi nilikuwa chuoni, lakini sasa kawa mkali anadai siwezi kumuoa huyo mwanamke kwa kigezo ni ndugu, na undugu wenyewe ni kwamba, bibi yangu mzaa mama ni dada ake wa babu wa huyu mchumba ambaye ni mzaa baba yake, so sisi ni ndugu.

Anasema tutunze tu mtoto na sio mengine, naumia sana maana tunapendana sana.

Ushaur wenu plz!!

kazi ipo...........
 
Back
Top Bottom