Mwambie hivi" unajua mama nilikuwa nakuficha, ila nina ujauzito wa miezi mitatu, baba mtoto nitamleta home nikipata likizo".Habari za wakati huu wana MMU, ni wiki ya pili sasa toka mama yangu mzazi aje kunitembelea.Nimefurahi na kiasi flani nyumba imechangamka.ishu iliyonisukuma kuandika uzi huu usiku huu ni kuwa mama ananilazimisha niolewe ama nizae ilhali mie siko tayari kwa sasa.ananiambia wamenitafutia mchumba huko nyumbani kwani shule nilishahitimu nina kazi na maisha yake mahali pake.kwahiyo jambo lililobaki ni kuolewa na kuanza familia.anasema wajomba wamemtuma na anatakiwa arudi na jibu.nimekosa raha kwakweli na nimekuwa nachelewa kurudi nyumbani from job,kwani nikitoka tu kazini napitia bar najilipua vya kutosha hadi mida mibovu nikirudi nakuta kalala.leo kanikamata kutwa nzima sijatoka na amenambia hataondoka hapa kwangu hadi nimpe jibu la uhakika.kwa mila za kwetu wajomba wana nguvu sana na nawaogopa sana wajomba zangu.wala sitaki kuwavunjia heshima.ila sina mpango wa kuolewa bali nimepanga kupata mtoto nayo si leo wala kesho.
nahitaji mchango wenu wa mawazo.huyu maza nampa jibu gani ili aniache niendelee kuishi life style niliyoizoea?​
Duh! SO THIS GUY IS NOT MAN ENOUGH!NIKIWE! NIKIWE!si kwamba sina mwanaume wa kuhang out naye now and then ama kumtambulisha kwa mama yangu, yupo ila sitaki kumkutanisha na mama yangu kwani ataniharibia yeye msimamo wake na wa my mummy unafanana, anapenda ndoa wakati namjua ni player hajatulia na ni spender sana, ananifaa kula maisha hapa mjini viwanja vyote anavijua ni mtu wa mishe ila si husband material
Habari za wakati huu wana MMU, ni wiki ya pili sasa toka mama yangu mzazi aje kunitembelea.Nimefurahi na kiasi flani nyumba imechangamka.ishu iliyonisukuma kuandika uzi huu usiku huu ni kuwa mama ananilazimisha niolewe ama nizae ilhali mie siko tayari kwa sasa.ananiambia wamenitafutia mchumba huko nyumbani kwani shule nilishahitimu nina kazi na maisha yake mahali pake.kwahiyo jambo lililobaki ni kuolewa na kuanza familia.anasema wajomba wamemtuma na anatakiwa arudi na jibu.nimekosa raha kwakweli na nimekuwa nachelewa kurudi nyumbani from job,kwani nikitoka tu kazini napitia bar najilipua vya kutosha hadi mida mibovu nikirudi nakuta kalala.leo kanikamata kutwa nzima sijatoka na amenambia hataondoka hapa kwangu hadi nimpe jibu la uhakika.kwa mila za kwetu wajomba wana nguvu sana na nawaogopa sana wajomba zangu.wala sitaki kuwavunjia heshima.ila sina mpango wa kuolewa bali nimepanga kupata mtoto nayo si leo wala kesho.
nahitaji mchango wenu wa mawazo.huyu maza nampa jibu gani ili aniache niendelee kuishi life style niliyoizoea?​
hahaha pole; vijana tujifunze jamani wazazi hawapendi kuona watoto wao wanagegedwa tuu. haya binti olewa bwana mama ana aibika kuwa mwananae wakike anagegedwa tuuu
haha mbona mie nina heshima yangu hapa kitaa sina tabia za kubadili dushe,basi tu bado sijakutana na mwanume wa kutamani kuishi naye kama mume na mke, nimekumiss lakini upo wangu?
mwambie una AIDS.
mie nipo tuu....sasa wewe mama lazima awe worried mtoto wake hawezi attract prospective husband...says alot abt daughter. u cant blame her for being worried....get married, have babies and make her happy
mbona wanaotaka ndoa nami wako wengi tu,mimi tu sitaki kuolewa i love my freedom,pia sina time ya kumhudumia mtu mzima na meno yake mdomoni,muda ukiwadia nitampatia grandson basi najua atafurahi
mbona wanaotaka ndoa nami wako wengi tu,mimi tu sitaki kuolewa i love my freedom,pia sina time ya kumhudumia mtu mzima na meno yake mdomoni,muda ukiwadia nitampatia grandson basi najua atafurahi
sawa freedom ila sasa miguu hiyo unaibana? hapa kinachomuuma mama ni kwamba mtoto wake anagegedwa hovyo and that she cant keep a man....try to empathize na utaelewa anajisikiaje. for her it represents a failure on her part kwamba ameshindwa kumlea mtoto to a point where she cn get married and have a family
mimi sigegedwi hovyo hadi men aione ch.upi yangu atakuwa matawi sana, kwangu ndoa sio ishu kabisa sijawahi feel the need ya hiyo ndoa kwenye moyo wangu,haya mengine ni mazungumzo tu jukwaani bt am among the few ladies wasiotoa papuchi hovyo
sawa hutoi hovyo ila unamegwa be it na matawi ya juu ay ya chini...hilo mama yako hayajui kabisa. for her u bring shame na mpaka kaongea ujue umemuuma sana yaani i cn feel her pain. ata mie daughter wangu afikishe 28 na bado hajaolewa kudadeki nitaona kama am a failure it doesnt matter ataka she is a millionaire
haha mzee wa migegedo unayasema haya kutoka moyoni?am still yangu hata 26 sina why the hurry?huo utajiri wenu wa kuoa na kuolewa mie siufagilii maisha ni zaidi ya kuolewa na kuzaa,average women ndo wanawaza hayo ndo mana wengi wakishaolewa wanazaa na kunenepeana hovyo kwani wanakuwa washaaccomlish life mission zao
bliv u mean yote hayo unayoyatafuta ni ubatili ata king solom was very rich yet akaona kuwa yote yale ni ubatili.
dada sikiliza....u are bringing shame to the family though u myt think otherwise.
u can still accomplis alot pamoja na kuolewa.
solomon alisema ubatili pamoja na kuwa na wake wengi plus suria wa kutosha,so hata ndoa ni ubatili tu, when the time is right nitatafuta ka baby boy kagu nikalee na kukapa all the love in the world,kuolewa na kina mzabzab never
kha!!! kweli wewe mfa maji..yani mara arugemt ni kwamba zitazua ku-accomplish mambo mara sijui wakina mzabzab.
hiyo ya kupata bby boy wakati ujaolewa is just being selfish!!