irresponsible ladies mnanikeraje nahisi mungu mwenyewe awatendee mnavyostahili mbona unamawazo machafu we mdada,,,BADILIKA NIKIWE......UTAKUWA MJI.GA emu mwogope mungu!
Mjibu kisiasi! "Mwambie bado unatafuta mtu sahihi wa kuwa baba wa watoto wako".
Sent using wireless by wire
ivi kwanini hamheshimu maagizo na utaratibu wa mungu, umeumbwa na kuwekewa utaratibu wa kuishi kwanini unakuwa mbishi, si support mama yako kukutafutia mume, but kwanini una immorality ideas mara mlevi , unawaza kuzaa na mtu yeyote, unamchezea mungu ati unaweza ukaganda hapo hapo ulipo akiamua, au siku unayeenda kuzaa naye akakupa HIV, please change go back to your GOD usiongee ongee tu i have a light to choose what life....! paul anawambia wapumbavu hujisemea ovyokuwa hakuna MUNGU.. UMEYAKISIKIA MANENO HAYA LEO JUMA PILI NOTE THAT IPO SIKU UTAULIZWA JAPO UTAPUUZIA.. MAY GOD SHOW YOU A GOOD WAY...NAKUPENDA SANA ATA USINICHUKIE BURE
haha haha nimekupata mwana, asante kwa neno but am not mlevi, mie nakunywa grants ama red wine tu nikijifeel high naacha narudi homu sijawahi kulewa wala kutukana mtu ni moja ya starehe yangu na pia paulo alisema tuwe waseja kama yeye tukishindwa kujizuia ndo tuoe ama tuolewe so nimeamua kuwa kama paulo
Mwambie akukutanishe na huyo wa kwamadiba uwatulize munkar huku unaset mambo na huyo mtu wako yakikaa sawa unamwambia wa kwamadiba kuwa hunafeelings nae so achape lapa.
tafuta mwanaume uliyezoeana nae ongea nae ajifanye mumeo mtarajiwa ila yupo ulaya kimasomo.mwambie mama mkwe yupo ulaya kimasomo akimaliza mtafunga ndoa.mkiwa na mama mbip huyo kaka apige aongee na mama kuhakikisha basi gemu litakuwa over
ukiamua kuwa mtawa anendelea kusema msiache afu muwake tamaa, km wewe una wazo la kuzaa na mtu aisei bora kaolewe kiukweli siukatai uzungu lakini pia siupendi, cheza katkat ur african we see as moral lady in africa are those looking for sufficient married ungesema hujaona mwanaume wa kukuoa make wanaume wote tuna tabia mbaya mimi ningekuelewa na kukushauri uweke tumaini lako kwa mungu maana si kweli wanume wote tu wahuni na sikwamba kila aliye kweye ndao anajuta, ni baadhi walio ingia kimakosa, bila ruhusa ya mungu kama una hofu ya mungu mtafute mwenye hofu ya mungu kama wewe u will neva regret ur married shida wadada wengi wa mjini wanatafuta kazi kwa sura zao, wanaishi mjini kwa sura zao maana ata wakipata kazi mshahara hauwatoshi kutokana na tamaa zao za kutaka kuimitate maisha wewe umekulia uswahili lakini baada ya chuo unataka uchange life style uwe unaenda dinner mlimani city lazima hapo utumike na shetani maana kwa shetani hakuna vya bure, na majuto yake ni mazito,,,,, samahnai kama nakukwaza naomba nifunge mjadala hivi ndivyo nionavyo mimi ingawa wenda ata mimi ni mwovu mbele za bwana ila natamani kuishi na kuwa kama maandiko yasemavyo!
si kwamba sina mwanaume wa kuhang out naye now and then ama kumtambulisha kwa mama yangu, yupo ila sitaki kumkutanisha na mama yangu kwani ataniharibia yeye msimamo wake na wa my mummy unafanana, anapenda ndoa wakati namjua ni player hajatulia na ni spender sana, ananifaa kula maisha hapa mjini viwanja vyote anavijua ni mtu wa mishe ila si husband material
usimtumie yeye mtumie rafiki wa kawaida tu ila asije kumit na mam,aseme yupo nje kimasomo,aongee na mam kupitia cm na kuahid akimaliza masomo atakuja kukuoa.kuolewa cku hizi kuumiza kichwa tu aisee
sorry sijakulia uswahilini hata chembe nimekulia kwenye familia ya kipato cha kati,sipendi maisha ya kuimitate kama udhaniavyo,namshukuru mungu amenibariki after skul nilibahatisha ajira private firm na within a year nikasaidia kampuni kusaini bonge la mkataba wa mamilioni ya shilingi then nikapata 10% yangu ambayo to be honest was a lot of money for me nikajenga kibanda changu fasta nikanunua usafiri na kufungua mradi mmoja unaoniingizia vijisent si haba, sasa mama yangu na ndugu zake wanaona maisha nimeyamaliza na ndio maana presha za kuolewa zimeanza,while nina ndoto zangu in terms of my career za kutimiza,ila mimi kama binadamu sijakamilika nina lots of flaws na huenda kutotaka ndoa ndio miongoni mwa flaws zangu
vyovyote ufanyavyo nikukumbushe ni ubatili mtupu...! kasome mhubiri vyaweza visiwe ubatili ila si kwa akiri wala nguvu zako, bali kwa neema na rehema ya mungu!!
kiumri niko below 27 so still niko kwenye track
everything is under control nimeplan kupata my first son by 2016 if GOD wish ofcourse