Mama yangu anataka mjukuu.

hapana nikiamua kuzaa nitastop ajira kwa miaka miwili for now natafuta mapene ya huyo chalii kwanza
Please!!!!, mimi mapene ya huyo chalii ninayo bhana, wewe hutakiwi kuhangaika baba yake nipo fiti, tufanye mpango bhana, si eti?
 
pesa ya kawaida ya kubadili usafiri ninayo nataka wanangu waishi kama wafalme so napiga mzigo akaunti inone kuzaa bila kujua future ya watoto kushapitwa na wakati
Please!!!!, mimi mapene ya huyo chalii ninayo bhana, wewe hutakiwi kuhangaika baba yake nipo fiti, tufanye mpango bhana, si eti?
 
tehe tehe wacha tu kanambia ni kijana msomi kutoka kwa madiba huko, watanifanya nitegeshe mimba ya huyu msela nisiyekuwa na future naye

sasa utafanyaje mwanangu?kama vp wape ultimatum ya miez3 utakuja na mchumba wako bush hukohuko kwa wajomba
 
pesa ya kawaida ya kubadili usafiri ninayo nataka wanangu waishi kama wafalme so napiga mzigo akaunti inone kuzaa bila kujua future ya watoto kushapitwa na wakati
Duuu!, hapo nitashindwa sasa.
 
tatizo mie bado sijamaliza kula starehe za ujana na sijawa tayari kubeba jukumu la kulea mtoto kwa wakati huu

Mmmh nikiwe kwa nn unakuwa hivyo? Unajua hapo unakiwa unajipenda binafsi zaidi...sidhani kama umeshawahi kumpenda mtu zaidi yako? Raha za ujana ndo zipi hadi ushindwe kuanzisha familia..mi.na uzee wangu bado maisha nayaona kuwa yana meaning kwa vile sina ninachokosa kwa kuwa na familia

Bahati mbaya kwako nduguzo wanaguata philosophy ya kiafrika kuwa huishi in isolation ndo maana wanataka mjukii wao..sio mtoto wako na una obligation ya kuwapatia.

So chagua mmoja kisha uanze mchakato wa ndoa. Isije ikafika wakati unataka mtoto ukamkosa kwa sbbu ya ugonjwa au vingine.
Have a blessed sunday
 
Last edited by a moderator:
khaaaa wewe nawe

badala ya kumuogopa Mungu unaogopa binadamu..... Eti wajomba? Hao wajomba hawana watoto wawaoze wapate wajukuu?

Mama yako mjibu tu kiheshima "hapana. Sio sasa. Na nitaolewa na mtu nilomchagua. " ndoa sio kuvaa shela na kufurahisha watu kula pilau..... Ndoa ina changamoto unapaswa kuolewa na mtu ulomchagua na uloridhika nae ili uweze kuvumilia changamoto zote in the name of love.
 
shukrani kwa ushauri ngoja nimtoe dina leo tukayazungumze, anasema anataka kucheza harusi ya mwanae ukizingatia mie ni mtoto wa pekee
 
Kaizer you are right,mimi niko selfish sana katika swala la mapenzi,i love my self too much sijawahi penda mwanaume,nyie viumbe hamuaminiki

mtoto nitatafuta ila sio wakati huu,nataka kupata mtoto nitakapo feel the need to have a baby ili hata mtoto mwenyewe aweze pata mapenzi ya mama, nikizaa wakati huu atakuwa mtoto wa kulelewa na beki3 nami sitaki iwe hivyo

 
Last edited by a moderator:
Ni wanigeria nin?
Kuwa muwazi waambie kwa sasa haupo tayari.
 
we mdada acha mawazo machafu ya kuzaa bila kuolewa naona unavyojilupua umeanza kukubuu ndiyo maana bi mkubwa kastuka anataka uolewe uache uhuni mwisho wake utajikuta umekuwa teja, na siku unajua umuhimu na heshima ya ndoa utakuwa uwezi kuipata,
 
irresponsible ladies mnanikeraje nahisi mungu mwenyewe awatendee mnavyostahili mbona unamawazo machafu we mdada,,,BADILIKA NIKIWE......UTAKUWA MJI.GA emu mwogope mungu!
 
haha aliyekwambia mie muhuni nani? hayo ni maamuzi yangu katika aina ya maisha ya baadaye niyatakayo kuolewa kwangu sio ishu kivile na si kila mtu aliitwa kwenye ndoa huo ni wito ndugu
we mdada acha mawazo machafu ya kuzaa bila kuolewa naona unavyojilupua umeanza kukubuu ndiyo maana bi mkubwa kastuka anataka uolewe uache uhuni mwisho wake utajikuta umekuwa teja, na siku unajua umuhimu na heshima ya ndoa utakuwa uwezi kuipata,
 
Mjibu kisiasi! "Mwambie bado unatafuta mtu sahihi wa kuwa baba wa watoto wako".

Sent using wireless by wire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…