Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
Watch "Freeman Mbowe alipomfagilia JK kwa juhudi zake za kuendeleza miundombinu Tanzania" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=vlH-YG_Kmnw&feature=youtube_gdata_player
Hivi haji tena Arusha awamu hii maana mwingulu madelu nchemba anategemewa kuja kesho!!!vp na yule shosti Shonza kapotelea wapi!!!!??
watch "freeman mbowe alipomfagilia jk kwa juhudi zake za kuendeleza miundombinu tanzania" on youtube - https://www.youtube.com/watch?v=vlh-yg_kmnw&feature=youtube_gdata_player
Huyo Mtela ana laana ya wazazi wake
mama mama mama mama huyoooo mama mama huyoo mamaaaa!!!!!!! Wazazi wetu ni miungu wetu wa duniani
Siamini kama huyu mama shupavu hivi anaweza kuwa na mtoto asire riziki.
Watch "Freeman Mbowe alipomfagilia JK kwa juhudi zake za kuendeleza miundombinu Tanzania" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=vlH-YG_Kmnw&feature=youtube_gdata_player
Sijawahi kuona mungu anaependa uzinzi,labda mungu wenu Ni Sheitwani laana tuullah. miungu ipo mingi lakini Mungu WA kweli mmoja Tu Subannah u'atallah ambae hasapoti uasherati na uzinzi!
Usituhamishe kwenye mjadala we kanjanja...anzisha thread nyingine kwa ajili ya hiyo habari yakoWatch "Freeman Mbowe alipomfagilia JK kwa juhudi zake za kuendeleza miundombinu Tanzania" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=vlH-YG_Kmnw&feature=youtube_gdata_player
Mkuu, kitu cha ajabu hapo sio kutofautiana kiitikadi na ndugu wa karibu kama baba, mama au mke. Kitu cha ajabu ni kusema CHADEMA ni chama cha watu wa Kaskazini huku ukijua mama yako yupo CHADEMA na ni mtu wa Ichenjezya. Sasa, je, Ichenjezya ipo Kaskazini?Siasa bila majungu zinawezekana pia jamani. Ni wangapi wanatofauti za kiitikadi na wazazi wao?
Siasa bila majungu zinawezekana pia jamani. Ni wangapi wanatofauti za kiitikadi na wazazi wao?
Sio Alana mkuu, kila mmojawapo anatafuta maisha kivyake, wakikutana ni wamoja, kila mtu analeta alichochuma. Chezea wana siasa weye.Huyo Mtela ana laana ya wazazi wake
View attachment 134454Mtazame anavyotia huruma huyu kijana aliye kosa radhi ya wazazi wake