mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Habari ambazo ninazo lakini sijazithibitisha(naendelea kufatilia kutoka kwa mtu wangu wa jikoni)ni kwamba huyu Mtella Mwampamba,Juliana Shonza,na Habib Mchange wanajiandaa na kujiunga na chama kipya ambacho Boss wao mr Z.Kabwe anaelekea huko na kufanya makazi yake ya kudumu katika siasa za Tanganyika. Ila pia nimeambiwa kuwa shughuli pevu iko kwa huyu bwana Mtella na dada Juliana,kwani hawa wawili wako njia panda kutokana na kujiunga na kuwa wanachama wa CCM hapa siku za karibuni wakitokea CDM na sasa wanataka wamfuate Boss wao kwenye chama kipya.
Bado naendelea kuzifuatilia habari hizi kutoka kwa mtu wangu wa jikoni
Bado naendelea kuzifuatilia habari hizi kutoka kwa mtu wangu wa jikoni
