Ebu fikiria watutsi wapo chini ya 15% huku wahutu wakiwa zaidi ya 85% ukiweka na uhasama mkubwa wa kikabila uliotamalaki huko Rwanda unaambiwa Kagame mtutsi kashinda kwa zaidi ya 90% ha ha ha ha ha.Watu wanasema CCM ni wataalamu wa kuiba kura lakini hawamfikii Kagame yeye kaiba hadi wamarekani wakastuka.