Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
Jamani jamani hali ni mbaya!
Kuna jamaa ana mpenzi wake ambaye anadai wanapendana sana! Kuna kipindi walitaka kuoana na alipotaka kumtambulisha nyumbani kwao mama mzazi wa kijana alipinga na kukataa kabisa hilo suala...
Kijana huyo alijua labda mama yake hajaridhika na mchumba wake(binti) huyo! Baada ya muda kupita huyo kijana aligundua kwamba mama yake mzazi (yule aliye kataa suala la mchumba wake) 'anamegwa' na kaka (kaka wa damu) wa mchumba (girlfriend) wake.
Kwahiyo mama yake anamegwa na shemeji yake(mkwe wake mtarajiwa) oops huu ni uchafu ulioje? Au ndio maendeleo?
Hivi wana jamii hii imekaaje?
Nawasilisha mada!