Mama yake anamegwa na kaka wa girlfriend wake!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Jamani jamani hali ni mbaya!
Kuna jamaa ana mpenzi wake ambaye anadai wanapendana sana! Kuna kipindi walitaka kuoana na alipotaka kumtambulisha nyumbani kwao mama mzazi wa kijana alipinga na kukataa kabisa hilo suala...
Kijana huyo alijua labda mama yake hajaridhika na mchumba wake(binti) huyo! Baada ya muda kupita huyo kijana aligundua kwamba mama yake mzazi (yule aliye kataa suala la mchumba wake) 'anamegwa' na kaka (kaka wa damu) wa mchumba (girlfriend) wake.
Kwahiyo mama yake anamegwa na shemeji yake(mkwe wake mtarajiwa) oops huu ni uchafu ulioje? Au ndio maendeleo?

Hivi wana jamii hii imekaaje?

Nawasilisha mada!
 
Ndio jamii tuishimo sasa hivi!!! one can expect maajabu yoyote, popote anytime!!!
 
unajua huo wanaoufanya ni uchafu sana...mama na mwana wanazungukana!
 
Hakuna uchafu wewe hapo. Si wamekubaliana laiti kama huyo jamaa anammega kinguvu ndo ingekuwa ishu lakini wanapeana raha waacheni jamani kwani wanavunja sheria?
 
Huyo mama hana mume? Jamaa alianza kummega lini huyo mama? Ni kabla jamaa hajaanza uhusiano na demu wake au ni baada. Kama jamaa alianza kummega maza kabla hakuna shida waendeleze libeneke tu, lakini kama alimegwa baada ya jamaa kutangaza uchumba then hapo kuna tatizo mahali. Huenda maza amekutana na mkuyati unamburudisha amepagwa au maza nae ana katabia ka kupenda kuliwa uroda tu. Si unajua wamama wa mjini wana sura za mbuzi.
 
mume anaye na sijui kwann ameamua iwe hivyo...
haya lkn vp hatima ya hao watoto wanaotaka kuoana?
 
Hakuna uchafu wewe hapo. Si wamekubaliana laiti kama huyo jamaa anammega kinguvu ndo ingekuwa ishu lakini wanapeana raha waacheni jamani kwani wanavunja sheria?
kwahiyo unafurahia?
 
Jamani jamani hali ni mbaya!
Kuna jamaa ana mpenzi wake ambaye anadai wanapendana sana! Kuna kipindi walitaka kuoana na alipotaka kumtambulisha nyumbani kwao mama mzazi wa kijana alipinga na kukataa kabisa hilo suala...
Kijana huyo alijua labda mama yake hajaridhika na mchumba wake(binti) huyo! Baada ya muda kupita huyo kijana aligundua kwamba mama yake mzazi (yule aliye kataa suala la mchumba wake) 'anamegwa' na kaka (kaka wa damu) wa mchumba (girlfriend) wake.
Kwahiyo mama yake anamegwa na shemeji yake(mkwe wake mtarajiwa) oops huu ni uchafu ulioje? Au ndio maendeleo?

Hivi wana jamii hii imekaaje?

Nawasilisha mada!

Sasa kama mama yako anamegwa na shemeji yako kuna shida gani? Kwani uhusiano wako na demu wako ndio uzuie raha za watu wengine? Acheni wale raha zao wakina mama pia wanasikia hamu ati!

'
 
hii hadithi imekaa ka ya kubuni,,,,,,,,,
haileweki ni wapi??????
tanzania au ulaya?????

ni mkoa upi kama tz???????

halafu huyo mama kaolewa au vipi?
 
kwanini usiwe unasoma maelezo ya thread vizuri? au unataka tukuone kwamba wewe ni kidume cha kuropoka?
 
I knew you would say so...
Nothing personal....
 
kwanini usiwe unasoma maelezo ya thread vizuri? au unataka tukuone kwamba wewe ni kidume cha kuropoka?

Pape, nilikuwa nina maanisha mama kama binadamu naye pia ana hisia na matamanio yake, na shemeji yangu mimi sio haramu kwake hivyo wao kuwa na mahusiano sioni kama ni tatizo, sioni hapo nimeropoka vipi! Lakini kama unahisi nimekukwaza jamaa yangu nisamehe halikuwa lengo langu hata kidogo.
 
mume anaye na sijui kwann ameamua iwe hivyo...
haya lkn vp hatima ya hao watoto wanaotaka kuoana?

Hapo mkuu hakuna kurudi nyuma. Hawa vijana wanataka kuoana kwa sababu wanapendana. Mapenzi ni yao wawili, ndoa ni yao na maisha pia yatakuwa yao wenyewe. Hawana haja ya kuwaangalia watu wengine. Kijana awe firm. Kama mama anaendelea kukataa awatafute ndugu wengine wamsaidie atimize azima yake. Shemeji yake hana umuhimu wowote kwenye ndoa yao na kama mama amekengeuka hatakuwa na msaada katika ndoa yake pia. Yeye aendelee na mambo yake awaache wafu wazike wafu wao.
 
huyo mama mbona hana madili kama mzazi???

Huyo mama ni kenge tu na chizi kama machizi wengine. Anashindwa kujua kuwa kila binadamu anaishi kwa kujinyima. Ukitaka kupata kila kitu unachokitamani basi utazua mikanganyiko na mikorogo isiyoweza kurekebishwa. Hata hivyo vijana hawana makosa na wampuuze huyo mama (mama mkwe kwa binti) kama chizi aliyekaa uchi barabarani!
 
Katika hali tete kama hizi ndipo watoto wa mjini hujiridhisha kwa kusema, kura kwa kura haramu kukomba mboga! Na kwamba kwa kuwa si kiatu kwamba kinabana au kinapwaya 'who the cap fit let them wear it'.
 
Back
Top Bottom