zubedasoud
Member
- Feb 1, 2017
- 91
- 117
- Thread starter
-
- #61
Hata yeye atajikuta yuko kwaoKamishna kabidhi kazi kwa JWTZ maana Polisi wakawaida wameshindwa. Rudisha kila mtu kwao.
Aje Tarime, RAIA wa nchi jirani wengi sana, pia Geita wapo wengi sana. Akitaka tumtajie akajiridhishe
Hatari kaka,passport pale uhamiaji zinatoka kama njugu ,yani mwaka juzi nilikuwa nafatilia passport kufka pale nikapewa vikwazo vingi japo nilikuwa navieleelezo vyote ila akatokea afsa mmoja akanambia kuwa nitoe pesa laki 2ili niweze kupata pspot kwa haraka..... Yani no hatar kwa idara zetu,ndo mana mhesh rais kamwambia afanye deeply reform ya taasis ,wazembe watolewe wazalendo tupoRushwa inaua uzalendo kabisa....
Ulitoa hiyo laki 2 ?Hatari kaka,passport pale uhamiaji zinatoka kama njugu ,yani mwaka juzi nilikuwa nafatilia passport kufka pale nikapewa vikwazo vingi japo nilikuwa navieleelezo vyote ila akatokea afsa mmoja akanambia kuwa nitoe pesa laki 2ili niweze kupata pspot kwa haraka..... Yani no hatar kwa idara zetu,ndo mana mhesh rais kamwambia afanye deeply reform ya taasis ,wazembe watolewe wazalendo tupo
= vibali
Wewe ni Mtanzania? Mbona hujuwi kuandika lugha yako ya taifa kwa ufasaha?
Hujuwi =hujui= vibali
Wewe ni Mtanzania? Mbona hujuwi kuandika lugha yako ya taifa kwa ufasaha?
Na vyuo binafsi...wamejaaa huko mpk wafagizi...na waosha vyooo..Apitie na kwenye mashule binafsi
XxxxxxxxxxxxxxxxxNa vyuo binafsi...wamejaaa huko mpk wafagizi...na waosha vyooo..
Shameee
Hapana,mpaka Leo ckuwexa fatilia tenaUlitoa hiyo laki 2 ?
We don't hv problems wth Kenyans brotherAje Tarime, RAIA wa nchi jirani wengi sana, pia Geita wapo wengi sana. Akitaka tumtajie akajiridhishe
Hiyo ni sawa ndugu ila angalia nilikoitoa katika hii madaKuna sehemu inaitwa Nanyumbu🙂
Nikwel kabisa unyanyasaji huo upo, kuna kipindi nilikuwa kwene mradi wa viatel tz,huko kigoma yani wadada wananyanyaswa sana hasa kwa kulazmishwa ngono na wote pale kasulu nilikuwa hatar sanaRushwa ni kubwa sana uhamiaji. Majengo yote yanayojengwa na wachina utakuta wapo wachina kibao wasio na vibali. Yaani wanafungiwa humo kwenye jengo.
Uhamiaji wakija wanapewa chao wanasepa.
Kinachonikera wachina unakuta hawana vyoo. Yaani mtu anakata gogo nje halafu analitiririsha kwenye kibustani chao cha michicha hapo hapo site.
Wakichukua dem wa kibongo wanapiga mtungo site nzima. Kinachosaidia tu dada zetu wasiumizwe ni kuwa wachina wana vibamia. Wanakutana na mishimo ya wadada wa bongo unakuta amepigwa na wachina 50 halafu anatoka anadunda tu
Kiasi Fulani ni kama vile wachina wanawapa kipaumbele cha kipekee. Sijui kwa niniWachina wachina wachina hawa inabidi wapewe kipaumbele cha kuondolewa nchini.
Kiasi Fulani ni kama vile wachina wanawapa kipaumbele cha kipekee. Sijui kwa nini
mmesahau ya mozambiq msili lakiniKamishna kabidhi kazi kwa JWTZ maana Polisi wakawaida wameshindwa. Rudisha kila mtu kwao.
FF unahatarisha kucha na macho yako kwa kuwasema hawa wenye nyadhifa serikalini.Ataikamata nusu ya Tanzania.
Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.
Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.