Mama wa uhamiaji acharuka

Huyu mama chini yake kuna watendaji wake ambao kila mwezi wanachukua fedha kwa wageni ili waendelee kukaa kinyemela.
Tunamuangalieni tu.
halafu baada e tutamtajeni majina.
 
Ataikamata nusu ya Tanzania.

Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.

Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Kuna taarifa zinazagaa kuwa hata wewe si raia wa Tanzania.Tunaomba ututhibitishie.
 
Kwani suala la uhamiaji Manji linamhusu vipi?
 
Ataikamata nusu ya Tanzania.

Kuna Wazambia, Wamalawi, Wakenya, Warundi na wengine wengi wanaishi kama Watanzania kwa kuwa tu wanaongea Kiswahili vizuri.

Wengine wana nyadhifa nzuri tu serikalini.
Aanze na john pombe
 

Rushwa inaua uzalendo kabisa....
 
Aje Tarime, RAIA wa nchi jirani wengi sana, pia Geita wapo wengi sana. Akitaka tumtajie akajiridhishe
Ataweza? Kuna sehemu akifika mwenyewe anafunga breki.
 
mwambieni mm ni Raia wa USA aje anikamte anirudishe kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…