Mama Wa mikoani

Mama la mama [emoji123]sio hawa mashangingi ya mjini yaliyooza kwa mikorogo.
Ajabu huyu mama akisimama na shangingi hatopewa heshima wala attention kama shangingi [emoji24][emoji24]
 
Hii inaitwa multitasking skill.
Hapo baiskeli haina bleki wala haina kengele. Akitaka kupiga kengele atapiga pedeli kwa mguu na akitaka kufunga bleki atachomeka mguu kwenye taili.
Kitu ambacho watu kama Bob Junior Wa dar na vijana wenzake wafungia suluali matakaon hawawezi kabisa
 
Mama la mama [emoji123]sio hawa mashangingi ya mjini yaliyooza kwa mikorogo.
Ajabu huyu mama akisimama na shangingi hatopewa heshima wala attention kama shangingi [emoji24][emoji24]
Umeongea kwa hisia Kali sana ..
Kiukweli hii nchi Ingekuwa inaangalia juhudi za mtu watu kama hawa wangepewa vipaombele sana kuliko haya yanayoshinda kwenye vigodoro huku yakiwa yamechomekea madela kwenye vyupi
 
Hapo baiskeli haina bleki wala haina kengele. Akitaka kupiga kengele atapiga pedeli kwa mguu na akitaka kufunga bleki atachomeka mguu kwenye taili.
Kitu ambacho watu kama Bob Junior Wa dar na vijana wenzake wafungia suluali matakaon hawawezi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nimecheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…