Big Up - mama wa Kipare - mjengoni - mbona wengine hawakusema??????? Jamani yanayotendeka Tanzania yanaumiza - wacha wasio na unafiki waseme - KWA SAUTI - KWA UCHUNGU - KWA KELELE ZOTE - ili mradi iwe wazi kuwa WATANZANIA TUMECHOKA.
Asante sana MAMA WA KIPARE - wanawake wengine wote tuko nyuma yako - haijalishi ni WAPRE AU SIO WAPARE.............. endelea kutetea yale unayoona ni HAKI kwa wanaoo newa. AGAIN BIG UP MAMA WA "KIPARE"